Trending Stories
View All
WAKATI SIMBA WAKIMTAMBULISHA CHAMA…MASAU BWIRE AIBUKA NA HILI KUHUSU RUVU SHOOTING YAKE…
IKIWA imebaki siku moja kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, Ruvu Shooting FC kupitia kwa ofisa habari wake, Masau…
EDO KUMWEMBE: NILISHANGAA SIMBA WALIPOMSAJILI KISUBI…AFUNGUKA ISHU YA NKANE NA YANGA…
MASHABIKI wa Simba wamewahi kumuona Kipa Jeremiah Kisubi katika lango? Hapana. Binafsi sijawahi kumuona akidaka. Mara ya mwisho nilimuona akichezea…
KOSA LA MSIMU ULIOPITA….HIVI NDIVYO YANGA WANAVYOLIPIKA TENA MSIMU HUU BILA KUJIJUA…
NIANZE na kuwakumbusha namna msimu uliopita ulivyokuwa laini kwa Yanga na hasa mwanzoni lakini mwishoni mambo yakawa tofauti kabisa. Mwanzoni,…
HUKO SIMBA HAKUNA KULALA…BAADA YA CHAMA KURUDI..APANDISHWA NDEGE FASTA ….
KIKOSI cha wachezaji 26 akiwemo kiungo Clatous Chama kinatarajiwa kuondoka Dar es Salaam leo mchana kuelekea Mbeya tayari kuwakabili Mbeya…
EHEE…WAKATI WENZAKE HUWA WAKISHANGILIA..TUZO YAMTIA HASIRA MKUDE…KIBU ATAJWA…
KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amefunguka kuwa kuchaguliwa kwake kuwa Mchezaji Bora wa Simba kwa mwezi Desemba, kumempa motisha ya…
YANGA KULIPUA BOMU LEO…CHICO USHINDI KUTANGAZWA …MUKOKO KUTUA MAZEMBE KWA MASHARTI…
YANGA ipo katika hatua za mwisho kumshusha straika Chico Ushindi anayekuja kufunga usajili wa timu hiyo akitokea TP Mazembe huku…
BAADA YA YANGA KUPOTEANA ZNZ…SENZO AIBUKA HADHARANI NA KUIMWAGIA ‘HEKO’ SIMBA..
BAADA ya kushindwa kutetea taji la Mapinduzi uongozi wa klabu ya Yanga umewapongeza watani zao Simba kwa kutwaa taji hilo…
KISA PENATI YA SIMBA…AZAM FC WASHINDILIA MAAMUZI YA REFA..WADAI KADI NYEKUNDU..
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliono ya Azam FC Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ amemaliza utata wa adhabu ya Penati…
PAMOJA NA KUONDOKA..WAMOROCCO WAANIKA A-Z KILICHOMUONDOA CHAMA KWAO..WATOA KAULI HII…
Klabu ya Berkane ya nchini Morocco imethibitisha kuondoka kwa mchezaji Clatous Chama ambaye alisaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia timu…
SAA CHACHE BAADA YA KUTAMBULISHWA SIMBA…CHAMA ARUSHA ‘KIJEMBE’ YANGA…MKATABA WAKE UKO HIVI…
Saa chache baada ya kutambulishwa kurudi Simba, Kiungo fundi wa mpira kutoka Zambia Clatous Chama amerusha kijembe kwenda kwa mashabiki…
BAADA YA CHAMA KURUDI SIMBA JANA…YANGA KUJIBU MAPIGO LEO…WADAI NCHI ITASIMAMA..NI MSUVA..?
Klabu ya Young Africans imeahidi kumtangaza mchezaji wa kimataifa aliyesajiliwa klabuni hapo katika kipindi hiki cha Dirisha Dogo ambacho kitafungwa…
WAKATI SIMBA WAKIWA ‘BIZE’ NA CHEREKO…YANGA WASHUSHA JEMBE JIPYA KIMYA KIMYA…KAMA UTANI VILE…
Wakati Simba jana wakiwa ‘bize’ na kutua kwa Chama, Yanga kimya kimya walimtambulisha Beki wa Kati kutoka KMKM ya Zanzibar…
PICHA: TAZAMA JINSI CHAMA ALIVYOTUA BONGO KIJASUSI…APOKELEWA KIMYA KIMYA BILA ‘SHAZI’…
HATIMAYE aliyewahi kuwa kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Clatous Chota Chama, amewasili nchini jioni ya jana Januari 14, 2022…
USHINDI IN..MUKOKO OUT YANGA…SENZO ATAMBA ..CHAMA ATUA DAR KIBABE..NI RAHA JUU YA RAHA…
Pitia Ukurasa wa Mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo Jumamosi
IMEISHA HIYOOO..MATESO YAMERUDI MJIAANDAE…TP MAZEMBE YATUA KWA KIUNGO YANGA…
Pitia Ukurasa wa Mbele wa gazeti la Championi leo Jumamosi
VITA YA SIMBA NA AZAM YAHAMIA AFCON LEO…NI PETER BANDA vs PRINCE DUBE..
Mchezo baina ya Zimbabwe na Malawi kwenye fainali za Afcon leo unaweza kutafsiriwa kama debi ya Simba na Azam kwenye…