Trending Stories
View All
BAADA YA CHAMA KUTAMBULISHWA SIMBA…SAKHO AKUBALI YAISHE KWA JEZI NO 17…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal Pappe Ousmane Sakho amekubali kubadilisha namba ya jezi aliyokua akiitumikia tangu mwanzoni mwa msimu huu…
RASMI…CHAMA ARUDI SIMBA KIBABE…UTAMBULISHO WAKE WATIKISA NCHI..YANGA WAACHWA KWENYE MATAA…
Hatimaye Kiungo kutoka nchini Zambia Clatous Chama ametambulishwa rasmi na Mabingwa Soka Tanzania Bara Simba SC katika usajili wa Dirisha…
KISA KUFUNGWA NA AZAM..NABI ATUA TZ KWA ‘HASIRA’..ATOA MAAMUZI MAZITO..SENZO AINGILIA KATI…
KAMA kuna watu walikuwa na stresi jana ni mastaa wa Yanga. Kocha Nesreddine Nabi amewapigia simu viongozi akawaambia; “Niwakute wachezaji…
KAMA ULIKUWA HUJUI..HII HAPA REKODI MPYA WALIOANDIKA SIMBA ZNZ…RAIS MWINYI ASHIRIKI…
Klabu ya Simba yenye maskani yake jijini Dar es Salaam imekomba tuzo zote katika Kombe la Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.…
MBEYA CITY YAMALIZA SHOO MAPEMA…YANYAKUWA KIUNGO MKALI WA SIMBA KIULAINIII..
Timu ya Mbeya City imeendelea kujifua kujiandaa na mchezo wake wa Ligi Kuu dhidi ya Simba baada ya kuisambaratisha…
KIGOGO YANGA AFUNGUKA ALIVYOLIZWA NA SIMBA KWENYE USAJILI..AGUSIA WALIVYOLIPA KISASI CHA KIMAFIA…
MWENYEKITI wa zamani wa Yanga, Imani Madega amefunguka kwa mara ya kwanza kwamba kuna usajili wa kisasi aliufanya wakati akiwa…
KUELEKEA MECHI DHIDI YA COSTAL….YANGA YA GSM WAPANGA KUUWASHA MOTO..YAZANZIBAR BADO YAPO…
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Kikosi cha…
NI ZAIDI YA KUFRU…GOLIKIPA WA AZAM ASAJILIWA KWA ZAIDI YA TSH ML 600..AZAM HAWAPATI HATA SENTI…
Mlinda mlango wa zamani wa klabu ya Azam FC, Razak Abalora anakaribia kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya FC…
HAYA SASA…CHAMA ANATUA…SIMBA WAKOMBA KILA KITU MAPINDUZI…MWAMNYETO AFUNGUKA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo Ijumaa.
MMEKWISHAA…CHAMA KATUA…SIMBA YAMSAINISHA MIWILI FASTA…BARBARA ASIMAMIA SHOO NZIMA..
Pitia Ukurasa wa Mbele wa gazeti la Championi leo Ijumaa
FT: AZAM FC 0-1 SIMBA ….SIMBA WABEBA KOMBE KIBABE…MKUDE AMPAGAWISHA RAIS MWINYI KWA STORI…
SIMBA ni mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2022 wanachukua kombe Uwanja wa Amaan ikiwa ni taji lao la nne. Dakika…
PABLO AICHIMBA MKWARA AZAM…TUNAKWENDA KUBADILI HISTORIA..KAPOMBE KAMA KAWA….
Kocha Mkuu wa Wekundu wa Msimbazi, Pablo Franco, amesema kuwa wanakwenda kubadili historia ya kufanikiwa kutinga Fainali ya Michuano ya…
WAKATI DILI LA CHAMA KUTUA SIMBA LIKIWA TAYARI…UONGOZI WAANIKA SIKU YA KUMTAMBULISHA…
UONGOZI wa Simba SC, umepanga kumtambulisha Clatous Chama siku ya mwisho kabla ya usajili wa dirisha dogo haujafungwa Januari 15,…
RASMI…ISHU YA MNIGERIA NA SIMBA IMEISHA..KAMA KAWA BARBARA ASISITIZA SAPRAIZI INAKUJA…
HATIMAYE Simba imefikia makubaliano mazuri na kiungo mkabaji raia wa Nigeria, Udoh Etop David na kupewa mkataba wa miaka miwili…
MASHABIKI WA SIMBA WAMUONYESHA CHA MTEMA KUNI MAYELE…APEWA KIBAO CHA KUFA MTU…
MASHABIKI wanaodhaniwa kuwa ni wa Simba juzi walijitokeza kwa wingi Bandari ya Dar es Salaam kuwapokea watani zao wa jadi,…
BAADA YA KUANZA KWA KASI YANGA…NKANE AKUTWA NA GONJWA LA AJABU..KUKAA NNJE MPAKA….
KIUNGO Mshambuliaji waYanga, Denis Nkane atakuwa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja kutokana na kusumbuliwa na Kinena. Nkane alisajiliwa na…