Trending Stories
View All
AZAM FC YASHINDA MABAO 2-0 MBELE YA KCCA, AZAM COMPLEX
KIKOSI cha Azam FC leo kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KCCA ya Uganda katika mchezo wa Kombe…
YANGA V SIMBA KWA MKAPA SEPTEMBA 25
WATANI wa jadi Simba na Yanga wanatarajiwa kukutana kwa mara nyingine tena Septemba 25, Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo utakuwa…
WAKATI MO DEWJI AKITIA MZIGO SIMBA, BILIONE YANGA AJIBU MAPIGO
NI kama vile Yanga imeamua kuijibu Simba kwa vitendo siku chache baada ya Mwenyekiti wa Bodi wa klabu hiyo ya…
BARBARA AFUNGUKA ATAKAVYOTUMIA BILIONI 20 ZA MO..
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes akipitisha usajili wa Mmalawi, Peter Banda, Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez…
ISHU YA MEDDIE KAGERE KUSEPA SIMBA IPO HIVI
BAADA ya kuenea taarifa kwamba mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere yupo mbioni kutimka klabuni hapo, wakala wa mchezaji huyo, Patrick…
EXCLUSIVE:NYOTA WA U 23 ALIYEFUNGA PENALTI YA MWISHO ABAINISHA KUWA PENALTI NI PRESHA
RAJAB Athuman nyota anayecheza ndani ya timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 alikuwa ni nyota wa mwisho…
HII HAPA ORODHA YA NYOTA WALIOMALIZANA NA AZAM FC
IKIWA kwa sasa timu zipo kwenye hesabu za usajili tayari mabosi wa Azam FC wamemalizana na nyota sita kwa ajili…
ONYANGO AWATUMIA UJUMBE WANAOMUITA MZE, ATWAA MATAJI MANNE BONGO
NYOTA wa Simba, Joash Onyango amesema kuwa wale ambao walikuwa wanambeza msimu huu uliomeguka wa 2020/21 kwamba ni mzee wameona…
BREAKING: YANGA YAMTAMBULISHA NYOTA MPYA MWINGINE
UONGOZI wa Yanga leo umemtambulisha nyota mpya mwingine ambaye atakuwa ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa…
VIDEO:ALIYEITUNGUA YANGA ATAJA HESABU ZAO MECHI ZA MBELE KAGAME
MSOWOYA Chiukepo nyota wa Big Bullets ambaye jana Agosti Mosi alipachika bao la usawa mbele ya Yanga kwenye mchezo wa…
AMISS TAMBWE KURUDI BONGO ISHU IPO HIVI
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Klabu ya Yanga, Amis Tambwe amesema kuwa yupo tayari kurudi Bongo ikiwa itatokea timu inamuhitaji ili…
NAMUNGO FC KUPITISHA PANGA KWA NYOTA 7, ORODHA HII HAPA, SALAMBA NDANI
IMEELEZWA kuwa nyota 7 wa Namungo FC ya Lindi huenda wakawa kwenye ile orodha ya wachezaji watakaochwa kwa msimu wa…
AMBUNDO NA KIUNGO MPYA WA YANGA UKONGE WAKIWASHA
LICHA ya wawakilishi wa Tanzania, Yanga kuanza kwa sare kwenye mchezo wa kwanza wa Kombe la Kagame waliweza kupambana katika…
YANGA; TUTACHUKUA KAGAME, YANGA ITAKUWA TISHIO, WAMKATAA AJIBU
SHABIKI wa Yanga, Daud Yanga ameweka wazi kwamba wanaweza kuchukua ubingwa wa Kombe la Kagame ikiwa wataongeza juhudi huku akiamini…
VIDEO: MAKAMBO ATUA DAR KIBABE, AMEAHIDI MAKUBWA, MAYELE KAZI IMEANZA
HERITIER Makambo atua Dar kibabe na ameahidi makubwa, Mayele kazi imeanza,aahidi makubwa.
VIJANA U 23 WANASTAHILI PONGEZI, WASIPOTEZWE KATIKA RAMANI
KATIKA moja ya vitu ambavyo Waafrika tumebarikiwa na tunapaswa kujivunia ni kuwa na vipaji halisi vya usakataji kabumbu. Ukiangalia…