Home Tags Al ahly

Tag: Al ahly

KLABU BINGWA ZA DUNIA MPINZANI WA YANGA AIBUKIA NAFASI YA TATU

0
Wapinzani wa Yanga kundi D kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri, imemaliza nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Kombe...

SARE YA YANGA vs AL AHLY ILIVYOMNEEMESHA PACOME…..HII NDIO KUFA KUFAANA...

0
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameshinda bao bora la wiki katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika zilizochezwa mwisho wa wiki. Kiungo mshambuliaji wa...

MABOSI YANGA WATUMIA JEURI YA PESA KUIANGUSHA AL AHLY

0
Kamati ya Mashindano ya Klabu ya Young Africans imeweka mpango mkakati wa kuipeleka klabu hiyo Hatua ya Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika,...

YANGA ISIWACHUKULIE POA AL AHLY

0
Wale Al Ahly hawajaisha kihiiivyo kama ambavyo watu hapa kwetu wanaaminishana wakati huu ambao mechi yao dhidi ya Yanga inakaribia kupigwa kesho Kwa Mkapa. Tatizo...

AL AHLY WAIPIGA MKWARA MZITO YANGA,GAMONDI APEWA TAMKO HILI

0
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Barani Afrika Al Ahly Marcel Koller ameliambia amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho Jumamosi (Desemba...

BAADA YA YANGA KUPOTEZA MCHEZO WA KWANZA,GAMONDI ASEMA HAYA KUELEKEA MCHEZO...

0
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Miguel Gamondi amesema makosa waliyoyafanya dhidi ya CR Beloizdad hawatayarudia katika mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly. Yanga wanashuka...

AL AHLY WASHIKILIA HESHIMA YA YANGA…. UONGOZI WAFUNGUKA HAYA

0
Klabu ya Yanga imesema mechi ya Jumamosi dhidi ya Al Ahly imeshikilia heshima yao kwani kama ikiibuka na ushindi itapata sifa kubwa barani Afrika...

YANGA KWENYE KIBARUA KIGUMU

0
YANGA kesho  ina kibarua kigumu kwenye mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri...

AL AHLY WATUA NCHINI KUIKABILI YANGA, WAPOKELEWA NA HAPPY NATION

0
MABINGWA wa Afrika, Al Ahly wamewasili Dar es Salaam usiku wa Alhamisi na kupokewa na basi la Kampuni ya Happy Nation Express ambao hutoa...

AL AHLY KUTUA DAR LEO, MASTAA HAWA WA YANGA NJE YA...

2
Ofisa Habari na mawasiliano wa Al Ahly, Gamal Gabr amesema timu hiyo itatua nchini leo na wachezaji 25 huku nyota watatu Taher Mohamed, Antony...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS