Tag: Cafcl
PACOME ,SANKARA USO KWA USO CAFCL
Pacome Zouzoua ameendelea kuongeza akaunti ya mabao kwa kufikisha matatu nyuma ya Sankara Karamoko wa Asec Mimosas mwenye mabao manne, kwenye michuano ya Ligi...
YANGA CAFCL WARUDISHA AKILI KWA MKAPA BAADA YA KUSHINDWA KUTAMBA UGENINI
Baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Medeama juzi, mechi mbili zijazo za nyumbani zimeshikilia kwa kiasi kikubwa ndoto za Yanga...
TATIZO LA YANGA KWENYE LIGI YA CAFCL LIPO HAPA
Yanga ndio mabingwa wa Ligi Kuu Bara, mabingwa wa kihistoria na ndiyo timu iliyofanikiwa zaidi katika historia ya soka la Bongo.
Kwa sasa ndiyo timu...
KOCHA WYDAD AWAANGALIA MASHABIKI WAO KISHA AKAWAPA HABARI HII…. HIKI NDICHO...
Kocha Mkuu wa Wydad Casablanca, Adil Ramzi amesema kwa sasa huruma pekee watakayo ipata Kwa mashabiki wao ni kushinda Kila mchezo uliopo mbele yao.
Wydad...
HIZI HAPA DAKIKA 90 ZA MAAMUZI MAGUMU NA YANGA
Kikosi cha Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, leo Ijumaa (Desemba 08) kinatarajiwa kuwasha moto nchini kitakaposhuka dimbani kuvaana na Ghana Medeama katika...
HUKO LIGI YA MABINGWA NI HATARI NA NUSU….. YANGA NDANI YA...
Wakati kikosi cha Yanga kikiwasili jana Ghana kwa ajili ya kuikabili Medeama, keshokutwa Ijumaa, mambo manne yanailazimisha kuibuka na ushindi katika mechi hiyo itakayochezwa...
SIO POA SIMBA NA MBINU CHAFU ZA WYDAD…..UONGOZI WATIA NENO
Uongozi wa Simba, umesema kuwa, kikosi chao kitaingia uwanjani kucheza dhidi ya Wydad Casablanca, kwa tahadhari kubwa ili wafanikishe malengo yao ya kufuzu Robo...
SARE YA YANGA vs AL AHLY ILIVYOMNEEMESHA PACOME…..HII NDIO KUFA KUFAANA...
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameshinda bao bora la wiki katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika zilizochezwa mwisho wa wiki.
Kiungo mshambuliaji wa...
HII HAPA NDIO NAFASI YA SIMBA,YANGA CAFCL
Klabu za Tanzania leo zitaendelea kusaka nafasi ya kukaa sehemu nzuri kwenye makundi yao kwa kucheza mechi za pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Simba...
KIMEUMANA YANGA LEO HUKO UGENINI CAFCL
KLABU ya Yanga leo inashuka dimbani Algeria katika mchezo wa kwanza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kundi D dhidi ya CR Belouizdad.
Mchezo huo...