Tag: dabi
UNAAMBIWA SHABIKI AKIMBIA OFISI YAKE NA KUHAMA NYUMBA KISA GOLI TANO...
Shabiki wa Simba SC, anayejiita ‘King Laudit Mavugo’ kutoka Mbinga Ruvuma kabla ya Derby ya Kariakoo ya Novemba 5, 2023, aliahidi kutoa Kilo moja...
BANGO LA YANGA LAZUA MJADALA ACHAMBUZI ASEMA HAYA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Kipenga Extra ya East Africa Radio, Martin Mwakiposa amesema kuwa kitendo cha Klabu ya Yanga kuweka bango...
HIVI NDIVYO BAO 5 ZA YANGA ZINAVYOITESA SIMBA HADI LEO
Klabu ya Simba imewataka wanachama na mashabiki wa timu hiyo kutulia, ikisema huu si wakati wa kunyoosheana vidole kwa sababu Ligi Kuu bado mbichi...
HIVI HILI LA CHE MALONE LIMEKAAJE KITAALAMU
Beki wa Simba Che Malome, siku ya Jumapili tarehe 05.11.2023 wakati wanakandwa kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwaa watani zao Yanga, alionyeshwa kadi mbili...
TAKWIMU HIZI ZINASEMA DABI YA KARIAKOO ILICHEZWA KWA DAKIKA 50 TU
BADO Yanga inashangilia ushindi wake wa mabao 5-1, dhidi ya watani zao Simba wanaoumia kupewa kichapo hicho kikubwa ikiwa ni kama kisasi kwani mei...
BADI YA KARIAKOO YAZUA MASWALI MAKOCHA WAWEKEANA BIFU
HAKUNA ubishi. Baada ya makelele ya siku kadhaa, umewadia ule muda wa Tanzania kugawanyika kwenye rangi mbili kubwa kwa dakika kadhaa.
Ni saa 11 jioni...
HALI YA KWA MKAPA IKO HIVI MUDA HUU SIO POA
KUTOKANA na hali ya hewa ya mvua, hakuna shamrashamra zilizozoeleka kwenye mechi za dabi za Simba na Yanga, ingawa haijazuia baadhi ya mashabiki kufika...
ROBERTINHO AIMALIZA YANGA KABLA YA KUINGIA DIMBANI, LEO NDIO KAZI IPO...
WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Olivieira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa wametumia uzito...
LEO NDIO LEO KAMA HAUNA TIKETI USIONEKANE KWA MKAPA POLISI WATOA...
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema asiyekuwa na tiketi hataruhusiwa kusogelea uwanja au maeneo ya milango ya kuingia katika mchezo...
ALLY MAYAY ACHAMBUA DABI YA LEO SIMBA vs YANGA……. UNAAMBIWA LEO...
Kaimu Mkurugenzi wa michezo nchini ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa Yanga Ally Mayay Tembele amesema wanapokutana watani wa jadi nchini huwa ni...