Tag: gamondi
KUMBE MASTAA HAWA NDIO WANAMPA KIBURI GAMONDI
Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga katika kikosi chake ana majembe mawili ya kazi yanayompa kiburi cha kuwa imara kwenye upande wa ulinzi kutokana...
GAMONDI ATOA ONYO KUHUSU UBINAFSI KISA MASTAA HAWA
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amewataka wachezaji wa timu hiyo kuacha kuangalia mambo binafsi haswa katika...
MBUNGI YA AZAM vs YANGA KUPIGWA SIKU HII WIKI IJAYO
Mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini la Yanga dhidi ya Azam FC iliyokuwa limepangwa kupigwa Jumatano ya Oktoba 25, imewahishwa...
GAMONDI AFUNGUKA MIPANGO YAKE KWENYE KIPINDI CHA MAPUMZIKO
Kocha Miguel Gamondi amefunguka kuwa atatumia kipindi hiki cha mapumziko kuboresha kikosi chake na kuleta usawa.
“Ni muda wa mapumziko, baadhi ya wachezaji wetu wameenda...
GAMONDI AWAPA ANGALIZO HILI MASTAA YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa baada ya kutinga hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wana kazi kubwa ya...
ILI KUKABILIANA NA KUNDI D GAMONDI AITUMIA LIGI KUU
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi, ameanza mchakato kuwapeleleza wapinzania waliopangwa moja katika michuano ya Ligi ya...
GAMONDI ATOA AHADI HII BAADA YA KIPIGO
Kocha wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina ameahidi kuibuka na ushindi katika mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya Geita Gold.
Mchezo huo...
HAWA NDIO ANGUKO LA GAMONDI
Nafurahishwa na wanachopatiwa washambuliaji wa Yanga lakini siridhishwi na wanachokifanya. Kenedy Musonda, Clement Mzize na hata Konkoni walipaswa kutoa zaidi ya walichofanya hadi sasa....
GAMONDI AFANYA MAAMUZI HAYA MAMBO YAISHE
Baada ya timu yake kupoteza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi amesema sababu kuu...
GAMONDI: TULIFANYA KOSA HILI IKAWA NI ZAWADI KWA WAPINZANI
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amezungumzia kiufundi mchezo wa juzi waliopoteza kwa magoli 2-1 dhidi ya Ihefu katika muendelezo wa Ligi Kuu ya...