Tag: HABAR ZA MICHEZO
FEI TOTO AANZA TAMBO AZAM FC…AWATAJA MABEKI HAWA ANAWAOGOPA…AMEFUNGUKA HAYA
Kiungo wa Azam FC, Feisal Sulum 'Fei Toto' amewataja mabeki wanaompa changamoto awapo uwanjani na kumfanya atumie akili nyingi kupenya katikati yao, akisema wawili...
KUMBE HIKI NDIO CHANZO CHA SIMBA KUFUNGWA NA YANGA…ISHU NZIMA A-Z...
Mchambuzi wa masuala ya soka kutoka EFM Radio, George Ambangile amesema kuwa mchezaji aliyevuruga mfumo wa Simba SC kwenye dabi ya Kariakoo ni mshambuliaji...
MOTO WA YANGA WAIKUMBA LIGI KUU MOROCCO…NABI AFANYA MAAJABU HAYA
Kile ambacho alikifanya Kocha wa zamani wa Yanga Nasreddine Nabi akiwa na Wananchi ameendeelea kukifanya kule Morocco akiwa na FAR Rabat.
Hadi sasa FAR Rabat...
WACHEZAJI WA YANGA WATIMULIWA AZAM COMPLEX…WALIKUWA WAKIFANYA MAZOEZI…ISHU NZIMA IPO HIVI
Wakati Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ukishindwa kutumika kwenye mechi ya Ligi Kuu kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga, kutokana na sehemu ya...
MOURINHO AVUNJA UKIMYA AWACHANA MAN U…”SIKUPEWA SAPOTI NA UONGOZI…AMEONGEA HAYA
Kocha Jose Mourinho anadai alipokuwa mwalimu wa Manchester United hakupewa ushirikiano kama anaoupata Erik ten Hag hivi sasa.
Katika mahojiano na gazeti la Telegraph, Mourinho...
MANJI AWAKATAA WANA YANGA…MECHI YA SIMBA ISINGEONYESHWA TU…AMEFUNGUKA HAYA
Mfadhili na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji amesema kwake staa mkubwa ni mmoja tu kwa sasa. Stephane Aziz Ki.
Manji ambaye amewahi kuiongoza...
HARMONIZE AMCHANA MO DEWJI…ATAJA SABABU YA SIMBA KUFANYA VIBAYA…AMTAJA BARBARA
Supastaa wa Bongo Fleva, msanii Harmonize anasema tatizo la Klabu ya Simba lilianza baada ya aliyekuwa CEO wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez kujiuzulu wadhifa...
WANANCHI WAJIPANGA KUPAMBANA NA WANAJESHI…WAINGIA KAMBINI LEO
Klabu ya Yanga imeingia kambini leo kwenye mazoezi baada ya kupata mapumziko ya siku moja kufuatia ushindi walioupata juzi Aprili 20, 2024 kwenye Dimba...
KOCHA PRISONS AIVULIA KOFIA LIGI KUU…WACHEZAJI WANATAFUTA SOKO WAUZIKE
'Ligi ni ngumu, wachezaji wanatafuta soko'. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Ahmad Ally akieleza msoto wa mechi tano mfululizo bila ushindi...
YANGA ILIUA LIGI YA MUUNGANO…HIKI NDIO KILICHOTOKEA A-Z HADI KUSIMAMISHWA KWA...
Klabu ya Yanga ya Dar Es Salaam imegoma kushiriki mashindano mapya ya Kombe la Muungano, yatakayofanyika Aprili 23 hadi 27 mjini Zanzibar.
Rais wa Shirikisho...