Tag: HABAR ZA MICHEZO
UHURU SELEMAN:- MNAMPAMBA LOMALISA NI BEKI WA KAWAIDA SANA…MADOGO ACHENI USELA
Mchezaji wa zamani Klabu ya Simba, Uhuru Seleman Mwambungu amesema kuwa beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa ni beki wa kawaida sana tofauti...
AZAM FC YAVUTA KITASA HICHI KIPYA…KWA BEKI HUYU MJIPANGE…ATAMBA MASHINDANO YA...
Azam FC imefikia makubaliano ya kumnunua beki wa kimataifa wa Mali, Yoro Mamadou Diaby, kutoka Kituo cha Soka cha Yeleen Olympique cha nchini humo.
Mlinzi...
MERIDIANBET:BURUDIKA NA MECHI ZA IJUMAA YA LEO
Ijumaa ya leo mechi zinaendelea kote na wewe kama unataka kuwa mshindi, ingia meridianbet usuke mkeka wako haraka na ubashiri kwa usahihi ujiweke kwenye...
DIARRA ANA UGOMVI GANI NA KIBU DENNS?…INSPECTOR HAROUN AFUNGUKA HAYA
Miongoni mwa makipa mahiri Afrika kwa sasa ni Djigui Diarra
anayeidakia Yanga na timu ya taifa ya Mali akisifika kwa ubora wa kuanzisha mashambulizi, pia...
YALIYOJIRI TFF A-Z SAKALA LA DUBE NA AZAM FC…ALIINGIA ANACHEKA AMETOKA...
Mshambuliaji wa Kimataifa kutoka Zimbabwe, Prince Dube aliyeonekana kuwa na tabasamu usoni shauri lake dhidi ya waajiri wake limesikilizwa leo,
Alhamisi na Kamati ya Sheria...
JOTO LA KARIAKOO DABI LAPANDA…YANGA WAPIGA MKWARA HUU MZITO…AMEFUNGUKA HAYA
Joto la Kariakoo Dabi linazidi kupanda ikiwa ni siku nne kwa sasa zinahesabiki kabla ya mchezo huo kuchezwa Uwanja wa Mkapa na kila timu...
MZIZE KUONDOKA YANGA…TIMU HII YA EPL YAWANIA SAINI YAKE…ZAHERA AINGILIA KATI
Kocha Mkuu wa Namungo FC, Mwinyi Zahera amesema kuwa iwapo mshambuliaji kinda wa Yanga SC, Clement Mzize amepata dili la kwenda Ulaya ni vyema...
MANDONGA:- “NAONA WAZI SIMBA IMECHOKA…AFANYA UTABIRI HUU WA MATOKEO
Karim Mandonga amefunguka kuwa yeye ni shabiki wa kutupwa wa
Klabu ya Yanga SC na kuelekea mchezo wa Jumamosi dhidi ya Simba Sc kuwa utakuwa...
NYOTA WA BRAZIL AREJEA UWANJANI AKIWA NA MIAKA 58…MNAOSEMA SAIDO MZEE...
'Jobe, Fredy ni usajiri mbovu kwa @simbasctanzania , Saido umri umeenda'' - Mzee Mwenda
Nyota wa zamani wa Brazil na mshindi wa kombe la Dunia...
AZIZ KI AWABURUZA MUDATHIR NA BACCA…AJISHINDIA MAMILION KUTOKA KWA WADHAMINI…IPO HIVI
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Stehpane Aziz Ki ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa Yanga kwa mwezi Machi.
Aziz amewashinda beki...