Tag: HABAR ZA MICHEZO
ZAHERA AFUNGUKA SAKATA LA USAJILI WA MCHEZAJI HUYU YANGA…DIARRA HALI TETE
Kipa wa Yanga Djigui Diarra amepata mshindani wa maana kwenye vita ya 'cleansheet' kwenye ligi ambaye ni kipa wa Coastal Union, Ley Matampi, ambaye...
GAMONDI AFANYA KOSA HILI…MASHUJAA KUKUMBANA NA HILI…ISHU NZIMA HII HAPA
Kikosi cha timu ya Young Africans SC chenye wachezaji 20 na viongozi 11 wa benchi la ufundi wakiongozwa na Kocha Mkuu,
Miguel Gamondi, kesho Jumamosi...
MENEJA WA KIBU DENIS AWACHANA LIVE SIMBA…KUMBE ISHU NZIMA IKO HIVI
Klabu ya Yanga imetuma ofa kwa uongozi wa mchezaji Kibu Denis ambaye amebakiza mkataba wa mwezi mmoja Simba SC.
Winga huyo mpaka sasa hajaongeza mkataba...
SIMBA SC KUMBE NI MAKAO MAKUU YA AZAM FC…AMRI KIEMBA AFICHUA...
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Clouds Media, Amri Kiemba amesema kuwa Klabu ya Azam inahofia kuibomoa ngome ya Simba kwa kuchukua wachezaji...
HOFU YATANDA KWA MASHABIKI SIMBA…WAHOJI YANGA WATAJWA WAFUNGUKA HAYA
Yuko wapi Kibu Denis? Hilo ndilo swali ambalo mashabiki wa Simba wanajiuliza baada ya kuuwekwa wazi kikosi chao ambacho kitacheza mchezo wa Ligi Kuu...
AUCHO AWAGEUKIA WACHEZAJI…”MKITAKA NIWE MTU MBAYA NITAFANYA HIVYO
Kiungo mkabaji wa Klabu ya Yanga, Khalid Aucho 'Daktari wa Mpira' amesema kuwa iwapo watu wanataka awe mtu mbaya basi atafanya hivyo.
Aucho ambaye ametoka...
“SIO KWAMBA NI MZURI SANA…MCHAMBUZI AMVAA AZIZ KI…MAGOLI KIPA WANAMBEBA
Mchambuzi wa michezo nchini kupitia TV3, Alex Ngereza amedai kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz Ki sio mzuri kwenye kupiga mipira ya kutenga...
JUMA MGUNDA AFUFUA NDOTO ZA MASTAA HAWA SIMBA…WAFANYA MAAJABU HAYA
Kaimu kocha mkuu wa Simba, Juma Mgunda amepata ushindi wake wa kwanza na mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wake wa pili...
AHMED ALLY AGEUKA MBOGO ATEMA CHECHE HIZI KIBABE…AMEFUNGUKA HAYA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema, hakuna mcahezaji wanayemtaka abaki kwenye klabu yao ambaye watashindwa kumbakisha.
Kauli hiyo imekuja ikiwa...
SHAFFIH DAUDA AINGILIA KATI ISHU YA KIBU…KUMBE SIMBA WAMEFELI HAPA
Nimeona na kusikia mjadala unaomuhusu Kibu Denis kuhusu thamani yake ya sasa ambapo mkataba wake na Simba umebakiza siku chache kumalizika.
Watu wengi wanasema Kibu...