Tag: Habari za Michezo Bongo. Habari za Michezo leo
AHMED ALLY AWACHANA CHAMA,MANULA NA KAPOMBE…PUNGUZENI MAKOSA,TUMIENI NAFASI…AMPIGIA SALUTI KIPA VIPERS
Uongozi wa Simba umewapa onyo mastaa wao wote wa timu hiyo kuchukua tahadhari kwenye mchezo dhidi ya Horoya unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa kwa...
YANGA:- WAACHENI WAARABU WAJE WANATAKA DAWA…HIVI WALITUFUNGAJE? WALIBAHATISHA…MASHABIKI NJOONI NA SANDA
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa Waarabu watwaambia waliwafungaje kwenye mchezo uliopita kutokana na mipango kazi inayoendelea ndani ya timu hiyo.
Yanga inayonolewa na Kocha...
KIUNGO SINGIDA BS…AMEANDIKA HISTORIA STARS…APATA DENI KUBWA!
Kiungo wa Singida Big Stars, Yusuf Kagoma amefunguka kuwa ni historia kwa yeye kuitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars...
TIKETI MECHI YA YOUNG AFRICAN(YANGA) VS US MONASTIR…FULL HOUSE FULL SHANGWE…MWANANCHI...
YOUNG AFRICAN(YANGA) VS US MONASTIR CAF CONFEDERATION CUP
TAREHE 19.03.2023
SAA 01:00 USIKU | UWANJA WA BENJAMIN MKAPA TIKETI ZINAPATIKANA MADUKA YA TTCL NCHI NZIMA
TTCL NYERERE...
SIMBA YATUA MAMELODI…YATETA NA VIGOGO WA SOKA…WAONGEA NA MKUU WA...
Mahusiano yenye tija. Simba SC imekua ikijenga na kusimamia dhima ya kujenga mahusiano na taasisi na vilabu vya mpira ndani na nje ya Tanzania,...
TETESI ZA USAJILI: MESSI KUNG’OLEWA PSG…WAARABU WAMPA MIL 1 KILA DK...
Lionel Messi, 35, ameahidiwa kuwa atalipwa jumla ya pauni milioni
193 sawa na Euro milioni 220 sawa na TSh496,706,137,823.22 ili kujiunga na klabu ya Al...
REFA MECHI YA SIMBA SC VS HOROYA AC…KAMA YUPO FEA FEA...
Vigogo Simba wana dakika 90 za kuandika rekodi ya kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF wikiendi hii endapo wataibuka na ushindi dhidi ya...
MKWAKWANI PATASHIKA NGUO KUCHANIKA…WACHEZAJI WATALISHWA UDUVI…WATAOGESHWA MAJI YA IRIKI
Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation imefikia kwenye utamu wake baada ya Timu 8 kutinga hatua ya Robo Fainali.
Timu zilizotinga hatua ya Robo...
MWAMUZI MECHI YA YANGA VS US MONASTIR…WANANCHI WAMEPATA ZALI KWA REFA...
Wakati Yanga wakijiandaa kuivaa US Monastir Kwa Mkapa wikiendi hii, huyu ndio mwamuzi atakaeamua hatima yao siku ya Jumapili.
Kwa upande wa Yanga watachezeshwa na...
RAISI HOROYA:- NIMESHTUKA KUSIKIA SIMBA KLABU KUBWA AFRIKA…KELELE NYINGI MITANDAONI…IMEACHWA MBALI...
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni...