Tag: Habari za Michezo Bongo. Habari za Michezo leo
MOLOKO AMGOMEA KOCHA NABI…”NAHITAJI KUTUMIKA ZAIDI…SITOKUBALI HADI MWISHO
KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi anapiga hesabu kali za kuhakikisha mastaa wa kikosi chake wanapata muda wa kupumzika pindi wanapotumika sana, ila yupo mmoja...
SIMBA YAFANYA MAAJABU YAKE…KLABU BINGWA MIDOMO WAZI…RAJA CA HAWAAMINI MACHO YAO
LICHA ya Simba kutofanya vizuri kwenye mechi mbili za Klabu Bingwa Barani Afrika lakini ndio timu pekee iliyopiga hesabu zake vizuri kwenye mechi muhimu...
YANGA ILITUPIGA KIPIGO CHA MBWA KOKO…WANGETUONEA HURUMA TU…SISI HATUPO LIGI YA...
BAADA ya Geita Gold kuambulia kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Yanga ,Mkurugenzi wa Geita Gold Zahar Michuzi amefunguka na kusema kuwa Yanga waliwapangia...
GOLIKIPA YANGA ATIMKIA KENYA…ATAMBULISHWA KIBABE…AKABIDHIWA JEZI SHANGWE TU
Golikipa wa zamani wa Yanga SC, KMC na Mtibwa Sugar SC, Farouk Shikalo amejiunga na klabu ya Kakamega Homeboyz ya nchini Kenya.
Shikalo alikuwa mchezaji...
AZAM FC NDIO BASI TENA…KOCHA AWASHANGAA MASTAA WAKE…WAJITOA WENYEWE
Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala, amefunguka kuwa anasikitishwa na mwenendo wa timu hivyo kwa kushirikiana na
benchi la ufundi watahakikisha kuwa wanafanya...
KAGERA SUGAR YA MOTO BALAA…MZUNGU AMETHIBITISHA…SILAHA MATATA ZATUMIKA
Klabu ya Kagera Sugar inayoshika nafasi ya saba kwenye msimamo wa LigiKuu imetoa wachezaji wanne kwenye timu ya taifa ya Tanzania kujiandaa na mchezo...
MCHEZAJI MAMELODI APATWA NA KICHAA…ANAISHI CHINI YA DARAJA…INASIKITISHA SANA
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia...
SIMBA YATOA TIKETI ZA KITIONGA…TANZANIA YAPANDA VIWANGO…YANGA YAAMBULIA POINTI 1
SIMBA imeshaipa neema Tanzania baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo.
Kitendo cha...
MAGAZETI LEO: MASTAA SIMBA SC WAPEWA ONYO CAF…MUSONDA AWAAPIA KUWAANGAMIZA WAARABU…KIUNGO...
Good Morning Mwanamichezo mwenzangu Leo March 16, 2023.
Nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
MWANASPOTI LEO: MGUNDA ATOBOA SIRI ZOTE…YANGA WAINGIA CHIMBO YAWASHTUKIA WAARABU…WABONGO HABARI...
Habari ya asubuhi Mwana michezo mwenzangu gazeti la leo Mwanaspoti 16 March 2023
Karibu kusoma kurasa za mbele za mwanaspoti leo