Tag: Habari za Michezo Bongo. Habari za Michezo leo
STAA WA YANGA ANAYEUZA MISHIKAKI….AFUNGUKA A-Z JINSI MO DEWJI ALIVYOMTIMUA BILA...
“Nilipostaafu soka nilifanya kazi tofauti, nimekuwa kondakta wa daladala, kisha nikafanya mambo ya mtaani na sasa nauza mishikaki na kacholi,” ndivyo anaanza kusimulia Kipanya...
FEISAL SALUM “FEI TOTO” AULA TAIFA STARS….. MASTAA WENGINE HAWA HAPA….
Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda
Katika kikosi hicho cha...
CLATOUS CHOTA CHAMA NDANI YA MBIO ZA KUWANIA MCHEZAJI BORA CAF...
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania...
TIMU YA WIKI CAF…SIMBA SC WAWILI…KAPOMBE NA CHAMA NDANI
CAF imetangaza timu ya wik ya CAF Championshipi, list kamili hii hapa Tanzania tumewakilishwwa na Wachezaji wawili kutoka Simba sc.
Wahezaji hao ni SHOMARI KAPOMBE...
KOCHA MKUU WA TANZANIA PRISONS…MOHAMED ABDALLAH ‘Bares’…AZUNGUMZA NA MASHABIKI
Ushindi wa 2-3 dhidi ya Namungo FC umempa jeuri Kocha Mkuu wa Maafande wa Jeshi la Magereza 'Tanzania Prisons' Mohamed Abdallah 'Bares', ambaye ana...
TANZANIA YATOLEWA ‘USHAMBA’ KOMBE LA DUNIA WANAWAKE INDIA…
Timu ya taifa ya wasichana U17 (Serengeti Girls) imeanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuchapwa mabao 4-0 na Japan katika mchezo...