Tag: KIMATAIFA
RASMI LIONEL MESSI AREJEA BARCELONA…ISHU NZIMA A-Z HII HAPA
Tetesi za Mshambuliaji wa PSG, Lionel Messi kurejea tena kwenye Klabu yake ya zamani ya Barcelona zimezidi kushika kasi baada ya nyota huyo kusafiri...
BARCELONA KUMREJESHA MESSI…WAANDAA DONGE HILI NONO…HACHOMOI!!!
Mshambuliaji wa PSG Lionel Messi anataka kurejea Barcelona lakini klabu hiyo ya Uhispania inahitaji kuongeza pauni milioni 88 kupitia mauzo ya wachezaji na kuamsha...
YALIYOMKUTA ACHRAF HAKIMI…YAMNYEMELEA C.RONALDO…ISHU NZIMA IKO HIVI
Uhusiano wa mapenzi wa mwanasoka Cristiano Ronaldo na
mchumba wake Georgina Rodriguez unaripotiwa kuwa na doa, huku wakianza kukumbana na mawimbi.
Uvumi wa sasa ni kwa...
HUYU HAPA MTALAKA WA ACHRAF HAKIMI…MFAHAMU KIUNDANI ZAIDI
Hiba Abouk aliyeachana na mumewe Achraf Hakimi, ni mwigizaji wa Uhispania ambaye aliomba talaka baada ya aliyekuwa mumewe kushtakiwa kwa kujaribu kumbaka mwanamke wa...
MESSI “BYE BYE” ANAONDOKA PSG BURE…BARCELONA WAPIGA RADA ZAO HIZI
Manchester United wameonyesha nia ya kumsaka Victor Osimhen baada ya kutuma ujumbe wa kumfuatilia mshambuliaji huyo Mnigeria mwenye umri wa miaka 24 aliyechezea klabu...
KUMBE ACHRAF ALIFUNDISHWA UJANJA NA ASAMOAH GYAN…ISHU NZIMA IKO HIVI
Wachezaji wengi wa mpira wa miguu ambao ni maarufu huwa katika hatari ya kukumbwa na matatizo mengi katika maisha. Baadhi ya changamoto zao ni...
DUUH! CHEKI JUMBA HILI LA KIFAHARI LA RONALDO…LAPANGISHWA MAMILIONI KWA MWEZI
Nyota wa klabu ya Alnassr na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuwa anakodisha/pangisha jumba lake la Kifahari lililopo katika jiji la...
MANE ATUPIWA VILAGO BAYERN…DUUH!! APIGWA FAINI HII…KISA KITASA ALICHOMPIGA SANE
Baada ya kumtoza faini ya €300K (Tshs. Milioni 772) kwa kitendo cha kumpiga Leroy Sane, Klabu ya Fc Bayern Munich wanafikiria kumuuza Sadio Mane...
TETESI ZA USAJILI: MESSI KUNG’OLEWA PSG…WAARABU WAMPA MIL 1 KILA DK...
Lionel Messi, 35, ameahidiwa kuwa atalipwa jumla ya pauni milioni
193 sawa na Euro milioni 220 sawa na TSh496,706,137,823.22 ili kujiunga na klabu ya Al...
HUYU HAPA MIKONO 60 WA AFRIKA…GOLIKIPA BORA WA MUDA WOTE AFRIKA…ATAJWA...
Golikipa BORA wa zamani wa Nigeria Vincent Enyeama (40) ametajwa kuwa Golikipa Bora wa Muda Wote wa Afrika na Shirikisho la Kimataifa la Historia...