Tag: LIGI KUU
MANGUNGU AWAPA NENO MASHABIKI WA SIMBA BAADA YA USHINDI A JANA
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, amesema timu yao imepitia kipindi kigumu cha kukosa matokeo lakini sasa wameanza kuyapata hivyo mashabiki waiunge mkono timu.
Amesema...
GAMONDI AFUNGUKA KUHUSU MASTAA HAWA KUKOSA WAPINZANI KIKOSINI
Wakati Yanga wakijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar, Kocha wa Yanga ametoa kauli ya kuwajibu wale wote wanaojaribu kumshauri kikosi...
GAMONDI ATAMBA KWA NAMNA HII….. AWACHUNGULIA MTIBWA KISHA AWATUMIA SALAM HIZI
Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Gamondi amemjibu Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar Zuberi Katwila, kwa kusema hasira zake zote atazihamishia katika mchezo wa...
KAMA SEZONI LA KIKOREA … SASA VITA IMEHAMIA LIGI KUU, HAPA...
Baada ya kuambulia matokeo mabaya kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, Miamba ya Soka la Bongo Simba SC na Young Africans inatarajia...
SAKATA LA YANGA KUNG’OA VITI JAMBO LINAMALIZWA HIVI WIZARA YATOA TAMKO
Wizara y utamaduni Sanaa na michezo imewasilisha malalamiko rasmi kwa TFF na kuwataka Yanga kugharamia uharibifu uliofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wao...
HAWA AZAM FC TUTAJUANA HUKO HUKO MBELE YA SAFARI
Azam FC kwa sasa ipo moto, lakini hilo halijamshtua Kocha wa JKT Tanzania, Malale Hamsini ambaye kesho Jumatatu timu yake itavaana na vinara hao...
MTIBWA SUGAR WAVUTWA MAJI MAREFU KIMATAIFA
Wakati Kocha Mkuu wa Young Africans, akianika mikakati yake kuelekea mechi mbili za nyumbani za Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Medeama FC...
KAZE MAMBO MENGINE YANUKIA IHEFU
Baada ya kuachana na Kocha kutoka nchini Uganda Moses Basena, uongozi wa Klabu ya Ihefu FC huenda ukamtwaa aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Young...
TATIZO LA YANGA KWENYE LIGI YA CAFCL LIPO HAPA
Yanga ndio mabingwa wa Ligi Kuu Bara, mabingwa wa kihistoria na ndiyo timu iliyofanikiwa zaidi katika historia ya soka la Bongo.
Kwa sasa ndiyo timu...
YANGA WABORESHA KIKOSI KAZI, WAMBA WATATU HAWA HAPA KUTUA JANGWANI
Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka Kumasi, Ghana ilipoenda kucheza mechi ya Kundi D ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...