Tag: michezo habari za michezo
GAMONDI SIO KINYONGE AJA NA HILI KIGALI
Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi anasuka kikosi chake kwa ajili ya mechi zijazo ikiwemo ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
HAYA SASA NI SIMBA HAPO SEPTEMBER 14
Wawakilishi wa Tanzania Bara Kimataifa Simba SC wanatarajia kuondoka nchini Septemba 14, mwaka huu kuelekea Zambia kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa...
KUHUSU YANGA KUJAZA UWANJA RWANDA, WACHAMBUZI WASEMA HAYA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa Klabu ya yanga wanao uwezo wa...
“WANACHAMA LIPENI ADA TUMALIZE MADENI” – YANGA
Baada ya moja ya Mashabiki wa Yanga SC kuhoji kuhusu kesi za madai pamoja na kufungiwa na FIFA kufanya usajili ambazo zimekuwa zikiiandama klabu...
HUKO SUPER LEAGUE MAMBO NI MOTO, SIMBA WAJA NA MBINU HII...
Simba watavaana na Al Ahly ya Misri katika michuano ya African Super League hatua ya nane bora.
Bila shaka Simba wanafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa...
SEPTEMBER 16 SIMBA WANAJAMBO LAO NA POWER DYNAMO…. MAANDALIZI YAPO HIVI
Ni rasmi Mnyama Simba SC anaanza kutupa tiketi yake ya kwanza kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya mabingwa wa Zambia Power Dynamos...
GAMONDI ACHOSHWA NA MAPUMZIKO HAYA YANGA, AFUNGUKA KILA KITU
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mechi tatu mfululizo walizozipata zimeongeza ufiti kwa mastaa wake huku akilia na mapumziko yaliyo mbele yao kwamba...
HII SIMBA INABALAA ZITO LIGI KUU MSIMU HUU
Ni mchezaji mmoja tu aliyeasisti mara mara mbili ambaye ni beki mpya wa Azam, Cheikh Sidibe aliyefanya hivyo kwenye mechi dhidi ya Kitayosce, huku...
MASTAA YANGA WAMVURUGA GAMONDI ISHU IKO HIVI
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ana kazi kubwa ya kufanya kutokana na vita kali iliyopo kwenye eneo la kiungo mshambuliaji kati ya Stephane...
HUKO SIMBA DAY FULL SHANGWE SAMIA MGENI RASMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha ya Simba Day litakalofayika keshokutwa Jumapili (Agosti 06),...