Home Tags Simba SC

Tag: Simba SC

SIMBA WATIA MKONO KWENYE MCHEZO WA ‘BASKETBALL’…JAMBO LAO HILI HAPA…

0
Uongozi wa Klabu ya Simba, umeruhusu Daktari wa timu ya wanawake (Simba Queens), Lanina Munisi kwenda kutoa huduma ya kitabibu kwenye timu ya mpira...

TAKWIMU ZINAONGEA…..CHAMA HUYU WA LEO SIO YULE WA MISIMU MINNE NYUMA…

0
MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama mkali wa pasi za mwisho mambo bado ni magumu kwakwe kwa kushindwa kufurukuta kwenye mechi za hivi karibuni. Ikumbukwe kwamba...

ISHU YA MGUNDA KURUDI SIMBA …UKWELI WA MAMBO UKO HIVI…KAPEWA MASHARTI...

0
Kocha kipenzi cha mashabiki wa soka nchini, Juma Mgunda amerejea ulingoni baada ya kupewa mikoba ya kuinoa timu ya soka wanawake ya Simba, Simba...

SAUTI YA MASHABIKI SIMBA YAFIKIWA…TRY AGAIN AKUBALI YAISHE ….ANYOOSHA MIKONO JUU…

0
Uongozi wa Simba SC, umesema utakutana na baadhi ya wanachama wao kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu klabu yao. Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti...

ACHANA NA ISHU YA BONGO UNAAMBIWA SIMBA IMEFUNIKA AFRIKA NZIMA YAWEKA...

0
Timu ya Simba SC imeshika namba 1 Afrika miongoni mwa timu zenye ushawishi mkubwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi Oktoba. Kwenye orodha hiyo 5...

KUISHUHUDIA SIMBA VS ASEC NI BUKU 5 TU

0
Klabu ya Simba imetangaza viingilio vya mchezo wao wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Asec Mimosas utakaochezwa siku ya...

HIVI HILI LA CHE MALONE LIMEKAAJE KITAALAMU

0
Beki wa Simba Che Malome, siku ya Jumapili tarehe 05.11.2023 wakati wanakandwa kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwaa watani zao Yanga, alionyeshwa kadi mbili...

ALLY MAYAY ACHAMBUA DABI YA LEO SIMBA vs YANGA……. UNAAMBIWA LEO...

0
Kaimu Mkurugenzi wa michezo nchini ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa Yanga Ally Mayay Tembele amesema wanapokutana watani wa jadi nchini huwa ni...

REKODI HIZI ZA ROBERTINHO, GAMONDI HANA

0
Kocha Mbrazil wa Simba, Robertinho hajapoteza mchezo wowote msimu huu akiwa na Simba SC, Ligi kuu ameshinda michezo yote sita. Katika Michuano ya AFL ametoa...

SIMBA YAWASHANGAZA POWER DYNAMO

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wala hauna haja ya kupiga makelele mengi juu ya timu yao na wanachokifanya ni kuendelea kushinda mechi zao...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS