Tag: Simba SC
VIGOGO WA SOKA AFRIKA…WAIOGOPA MECHI SIMBA NA YANGA…WAPATA VIGUGUMIZI
Makocha na wachezaji waliowahi kuzitumikia Simba na Yanga, wanaitazama dabi ya Aprili 16 kwamba itaamuliwa na mbinu, nidhamu na utalivu kutokana na ubora wa...
KOCHA SIMBA:- BADO TUPO KWENYE MBIO ZA UBINGWA…HADI MWISHO MPAKA IFIKE...
Kocha msaidzi wa Simba SC Juma Mgunda amesema kuwa maandalizi yanakwenda vyema kwa wachezaji wake kupokea kila kitu ambacho benchi la ufundi linafundisha na...
KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA YANGA…HUU HAPA UDHAIFU WA WATANI WA...
Kocha na nyota wa zamani wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ameuangalia ubora wa timu yake hiyo ya zamani na ule wa Simba na kutoa...
MSEMAJI SIMBA AINGIA MATATANI…”YANGA NI KAMA MAITI TU WANAKUJA TUWAKAMUE
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake aliyoitoa dhidi...
IMEVUJA RASMI…BALEKE ANA MKATABA HALALI NA TP MAZEMBE…SIKU ZAKE ZINAHESABIKA SIMBA
S Klabu ya TP Mazembe hivyo yuko Simba kwa Mkopo.
Mashisha amesema hayo wakati akifanyiwa mahojiano maalum na chombo kimoja cha Habari nchini Tanzania baada...
MMH HII SASA KUFURU…MABOSI WA SIMBA WAINGIA KAMBINI NA TIMU
Katika kuhakikisha wanashinda mchezo wa Jumapili (April 16) dhidi ya Young Africans, baadhi ya viongozi Klabu ya Simba SC kutoka kamati mbalimbali wamehamishia shughuli...
IMEVUJA!! MABOSI SIMBA WAMWAGA MANOTI…WAIFUNGIA KAZI YANGA
Mabosi wa Simba wameamua kuifungia kazi Yanga inayonolewa na Kocha, Nasreddine Nabi kwani wamesema hawataki chochote zaidi ya ushindi katika Kariakoo Dabi, ambapo tayari...
ZA NDANII KABISA…MECHI SIMBA NA YANGA…MAREFA HAWA WOTE WANAWAKE
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya mchezo wa dabi kuonekana safu nzima ya waamuzi kuwa jinsi ya kike kuhakikisha dakika 90 zinamalizika...
MECHI YA SIMBA NA YANGA SIO VITA…MSIHATARISHE MAISHA YA WATU…MPIRA NI...
Wikiendi hii shughuli zote za michezo zitasimama kupisha dakika tisini za machozi, jasho na damu ambapo wababe wa soka la Tanzania Simba na Yanga...
BALEKE AMFUKUZISHA KAZI KOCHA IHEFU…NI BAADA YA KUFANYIWA UKATILI HUU MKUBWA
Kitendo cha straika wa Simba, Jean Baleke kupeleka kilio mara mbili ndani ya Ihefu, kimetajwa kuwa ni sababu ya mabosi wa klabu hiyo kuachana...