Tag: Simba SC
DOKTA SIMBA AZUNGUMZA HAYA…KUHUSU MAJERAHA YA KAPOMBE,KIBU NA BANDA
Klabu ya Simba imebainisha kuwa wachezaji Shomari Kapombe na Kibu Denis ambao walipata majeraha kwenye mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi ya michuano ya...
SIMBA NA YANGA ZAISHTUA AFRIKA…ZAPANDA VIWANGO VYA CAF KWA KASI YA...
Klabu za Simba na Yanga zimepanda katika viwango vya ubora kwenye michuano ya CAF baada ya kukamilika kwa hatua ya makundi ya michuano ya...
SIMBA YAKOMBA TUZO HIZI CAF…MAPYA YAIBUKA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa tuzo ambazo wamekomba wachezaji wake kwenye mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika 'CAF'...
SIMBA IJAYO ITAKUWA ZAIDI YA BARCELONA…”KOCHA MKUU ROBERTINHO
Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema baada ya muda wa miezi minne aliyokaa na timu anaamini katika siku za baadae Simba itakuwa na kikosi...
SIMBA YACHAGULIWA KUCHEZA LIGI HII…NI LIGI YA WAFALME TU…YANGA YAPIGWA CHINI
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amefunguka kuwa, michuano ya CAF Super Cup ambayo wanatarajia kushiriki msimu huu, ni hatua kubwa...
KIUNGO HUYU WA CONGO ATUA MSIMBAZI….USAJILI WA KIBABE…ROBERTINHO AUPIGA MWINGI
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho' mjanja sana kwani wakati akijipanga kumalizia mechi za msimu huu katika michuano ya kimataifa na ya ndani,...
SIMBA YAANDAMWA NA NJAA KALI…KOCHA MKUU ATHIBITISHA…AMEZUNGUMZA HAYA
JANA tulianza sehemu ya kwanza ya mahojiano yetu na Kocha Mkuu wa Simba, Robert Oliviera ‘Robertinho akifafanua mambo mbalimbali ndani ya ajira yake akiwa...
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA…KILICHOPIGWA NA RAJA CA 3-1
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wanashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili vinara wa kundi C, Raja...
RAJA CASABLANCA 3-1 SIMBA SC…ONYANGO AICHOMESHA SIMBA MOROCCO
Klabu ya Raja Casablanca ya nchini Morocco imeiahushia kipigo tena Klabu ya Simba baada ya kuitungua mabao 3-1 katika Dimba la Mohammed wa V...
HUYU HAPA MRITHI WA TSHABALALA SIMBA…AVALISHWA MIKOBA RASMI
Wakiwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Raja Casablanca, mikoba ya nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Jr inatarajiwa kuwa...