Home Tags Simba SC

Tag: Simba SC

SIMBA SC YAFANYA KUFURU…WINGA MATATA WA KIMATAIFA…USAJILI WA KUTISHA MAPEMAA

0
Simba mapema tu wamepiga hesabu za kukiboresha kikosi hicho na imebainika ni kuwa wameanza mazungumzo na winga matata wa As Vita, Eric Kabwe kwa...

ZIZO NA SHALULILE WANYONGE TU…CHAMA “MWAMBA WA LUSAKA” BABA LAO…CAF IMETHIBITISHA

0
Kiungo wa Simba SC, Clatous Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora Wiki ya raundi ya nne ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa...

SIMBA IPO SIRIAZI KIASI HICHI…OUATTARA AONDOLEWA KAMBINI…SAWADOGO AREJEA MAZOEZINI

0
Beki kutoka nchini Ivory Coast, Mohammed Ouattara amelazimika kuondolewa kwenye kikosi cha Simba SC, kinachoendelea maandalizi ya mchezo wa Mzunguko wa tano wa Kundi D,...
IJE MVUA AU LIWAKE JUA...SIMBA NA YANGA WIKIENDI HII...DAR ITASIMAMA KWA MKAPA KIBOSI

IJE MVUA AU LIWAKE JUA…SIMBA NA YANGA WIKIENDI HII…DAR ITASIMAMA KWA...

0
Wababe wa Ligi Kuu, Simba na Yanga wiki hii watakuwa na mechi za kuamua hatima yao katika mashindano ya Kimataifa. Simba inashuka uwanjani hapo Jumamosi...

SIMBA KUINGIZA MIL 2.2 KILA SEKUNDE 60…MO DEWJI AFANYA MAAJABU YAKE…JASHO...

0
DOKEZO: Tajiri kaweka milioni 200 mezani ambazo kwa hesabu ya kawaida ndani ya dakika 90 kwenye kila dakika watakayokuwa uwanjani watalipwa Milioni 2.2. Hapo...

MCHAMBUZI WA SOKA….SIO JAMBO LA KUSHANGAZA…TSHABALALA KUACHWA TAIFA STARS

0
Machi 13 Kikosi cha Wachezaji 31 cha Timu ya Taifa kilitangazwa kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Timu ya...

SILAHA HATARI YA SIMBA YAREJEA…MSIMBAZI WAZIDI KUJIKOKI…HOROYA WATAKIMBIA

0
KIUNGO wa kazi ndani ya Simba, Hassan Dilunga amerejea kwenye uwanja wa mazoezi baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akipambania afya yake. Nyota huyo...

MGUNDA SIMBA TUNAUTAKA UBINGWA LIGI KUU…”POINTI TULIZOPITWA NI CHACHE SANA…”HAIJAISHA MPAKA...

0
Kocha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda, amesema kuwa timu yao bado ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu kwani...

SIMBA VIGEREGERE TU….WAFURAHIA KAPOMBE NA TSHABALALA KUTEMWA STARS…KWA MKAPA HATOKI MTU

0
Uongozi wa Simba SC umekiri kupokea kwa mikono miwili maamuzi ya Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche ya kuwaacha Wachezaji Shomari Kapombe na Mohamed...

SABABU ZA KAPOMBE NA ZIMBWE KUTEMWA…KAPOMBE HANA SPIDI…ZIMBWE JR HANA UMAKINI

0
Kapombe na Zimbwe JR watemwa, Yanga imetoa wachezaji 7 dhidi ya 3 kutoka Simba    Mtazamo: kwanini kapombe na zimbwe hawajaitwa? 1: Kapombe ni beki imara...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS