Tag: Simba
IMBA AFUNGUKA HAYA JINI ZITAKAVYOBEBWA POINTI TATU MBELE YA WAARABU
IKIWA ni saa chache zimebaki kabla ya wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba kutupa kete ya tatu kusaka pointi tatu dhidi...
MASTAA IMBA ATOA AHADI YA KIBABE DHIDI YA WYDAD LEO
MASTAA wa Simba wameapa kupigana kufa na kupona ili kuhakikisha timu yao inapata matokeo mazuri katika mchezo wao wa ugenini dhidi ya Wydad Casablanca...
SIMBA vs WYDAD NI KISASI NA HESHIMA MASTAA WATOA TAMKO
Mashabiki wa Simba, wanasikilizia chama lao likishuka uwanjani usiku wa leo kwa mara ya pili chini ya kocha mkuu Abdelhak Benchikha ugenini dhidi ya...
KOCHA WYDAD AWAANGALIA MASHABIKI WAO KISHA AKAWAPA HABARI HII…. HIKI NDICHO...
Kocha Mkuu wa Wydad Casablanca, Adil Ramzi amesema kwa sasa huruma pekee watakayo ipata Kwa mashabiki wao ni kushinda Kila mchezo uliopo mbele yao.
Wydad...
HII ROBO FAINALI SIMBA, YANGA BADO KITENDAWILI
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi inaendelea kwa kuingia raundi ya tatu wikiendi hii, leo kukiwa na mechi tatu ikiwamo ya...
SIMBA YAIFANYIA UMAFIA WYDAD… BECHI LA UFUNDI LAKIRI JAMBO HILI
Benchi la Ufundi la Simba SC limekiri kuifuatilia Wydad Casablanca katika mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu ya Morocco, na kubaini mazuri na...
HUU MPANGO WA SIMBA WAWATISHA MABEKI WYDAD
Wakati klabu ya Simba ikiendelea na maandalizi kabla ya kuivaa Wydad Casablanca kesho jijini Marrakech, Morocco huku beki wa timu ya Wydad, Arsene Zolla...
CHAMA NAE AONYESHWA MLANGO WA KUTOKEA MSIMBAZI….. ISHU IKO HIVI
Shabiki maarufu wa Klabu ya Simba, anayefahamika kwa jina la Mchome amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Clatous Chama kwa sasa hana msaada...
SIMBA IMEBADILIKA KILA KITU…. TATIZO BADO LIKO HAPA
Mchambuzi wa soka Bongo George Ambangile amesema Simba SC imebadilika kutoka ile iliyokuwa inaruhusu sana magoli na kilichobaki ni kupachika magoli kwenye nyavu.
Ambangile ametoa...
MTEGO WA CHAMA DHIDI YA WYDAD UMEKAA HIVI
Kiungo mshambuliaji Clatous Chama anajadiliwa kwamba huwenda akaanza kwenye mchezo dhidi ya Wydad kutokana na kila alichokionesha kwenye mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy.
Mchambuzi wa...