Tag: soka la bongo
GAMONDI AWEKA WAZI MPANGO HUU KIMATAIFA YANGA
UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua kuanza katika kikosi cha timu hiyo, kitakachovaana dhidi ya ASAS FC...
MASTAA SIMBA WAANZA KWA MAJANGA MSIMU HUU
MASTAA watatu wa Simba wameanza kwa majanga msimu wa 2023/24 kutokana na kupata maumivu wakiwa kwenye majukumu yao.
Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Simba ilishuhudia...
DJUMA SHABAN NA YANGA SASA SHUGHULI IMEKWISHA, HATA SIMBA FRESH TU
Uongozi wa Yanga umempa barua ya kumuacha huru aliekuwa mlinzi wake wa kulia Raia wa Jamhuri ya Congo Djuma Shaban.
Beki huyo ambaye alikuwa tegemezi...
GAMONDI ATAMBA KUICHAKAZA ASAS KESHO, HUKU AKIJITETEA HIVI
Kesho Agosti 20 katika Uwanja wa Azam Complex utachezwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika mchezo utakaowakutanisha mabingwa wa Ligi ya Djibouti ASAS...
SALIM ALLY AISHIKA PABAYA SIMBA….. ISHU IKO HIVI
Bila kupepesa macho ukiambiwa utaje mchezaji bora wa michuano ya ngao ya jamii basi jina la Ally Salim utalikuta pale juu..to be honest kijana...
MANARA AWATOLEA UVIVU TFF KISA CHAMA, AZIZ KI…. ISHU IKO HIVI
Msemaji wa Klabu ya Yanga aliyefungiwa na TFF, Haji Manara amewakingia kifua wachezaji wa soka wenye mikataba binafsi na kusema kanuni za Shirikisho la...
KWA HILI GAMONDI LAZIMA AKUNR KICHWA YANGA
Pazia na michuano ya kimataifa kwa msimu wa 2023-2024 lilifunguliwa Jana Agosti 18 kwa mechi za raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa na...
SIMBA WAPATA PIGO…. KRAMO MAMBO SIO MAMBO, DAKTARI AANIKA UKWELI WOTE
Kutokana na sintofahamu iliyoibuka juu ya wapi alipo winga wa Simba, Aubin Kramo raia wa Ivory Coast, ambaye tangu amesajiliwa na Simba, hajacheza mechi...
ISHU YA AUCHO IKO HIVI UKO CAF
Unaweza kusema kiungo Khalid Aucho ameanza na gia kubwa msimu huu. Kiungo huyo wa Kimataifa kutoka Uganda alin'gara katika kikosi cha Yanga kwenye mechi...
DOUMBIA KUMBE HAJAMALIZANA NA YANGA, ISHU IKO HIVI
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’.
Taarifa...