Tag: soka la bongo
BENZEMA AHUSISHWA NA UGAIDI KUFUATIA SAKATA PALESTINA
Waziri wa Mambo ya ndani wa nchini Ufaransa, Gerald Darmanin, anamshutumu mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad ya Uarabuni, Karim Benzema kwa kuwa na uhusiano...
BANGALA KUIKOSA YANGA ISHU IKO HIVI
Kiungo Mkabaji wa kutoka DR Congo Yannick Bangala ameondolewa katika mipango ya Azm FC kuelekea mchezo wa Mzunguuko wasita wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
UCHAWI WA GAMONDI YANGA HUU HAPA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
WAZIRI WA UTAMADUNI AWEKA UTABIRI WA KIBABE SIMBA, YANGA CAFCL
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema hatua ambayo Simba na Yanga zimefikia kucheza makundi Ligi ya Mabingwa Afrika huenda ikatokea...
KWELI HII HATARI WATU WANAIJUA SIMBA KULIKO STARS
Mchambuzi wa soka Bongo, Amri Kiemba amechambua kuhusu mashabiki wa soka kuizungumzia klabu ya Simba kuliko timu ya Taifa.
Huu hapa uchambuzi wake;
"Inawezekana TFF ina...
UJIO WA MANULA WAMPA WASIWASI MWARABU WA SIMBA
Mashabiki wa Simba kwa sasa angalau wana furaha baada ya kusikia kipa namba moja wa timu hiyo, Aishi Manula amerejea uwanjani na juzi kucheza...
SIMBA SASA MBIONI KUSAKA FAINI YA MKALI HUYU
Taarifa za kuaminika ni kuwa Uongozi wa Simba unaendelea na mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa MAS Fes, Banfa Sylla ili kuipa...
YANGA WATOA TAARIFA HII MPYA MAPEMA LEO
Yanga iko mbioni kuzindua jezi maalum itakayotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuanzia hatua ya makundi.
Sheria Ngowi ambaye ndiye mbunifu wa...
SIMBA WATAMBA, AL AHLY AMEKUJA KIPINDI KIBAYA
Klabu ya Simba imesema kuwa wapinzani wao kwenye michuano ya African Footbal League (AFL), Al Ahly wamekuja katika kipindi kibaya kwani Mnyama atawatafuna mapema...
MRITHI WA MAYELE YANGA HALI TETE AKOSA PAKUSHIKA
Mshambuliaji Emmanuel Mahop, aliyekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga kwenye dirisha lililopita la usajili amerudi nchini Cameroon baada ya kufeli majaribio katika Klabu inayoshiriki Ligi...