Tag: soka la bongo
MAXI AJA NA KIAPO HIKI LIGI KUU
Kiungo fundi wa boli, Maxi Nzengeli alisema anaendelea kuizoea ligi ya Tanzania akitaka kuvunja rekodi aliyoanza nayo ya kufunga na kuasisti kwa timu hiyo...
HAPA SIMBA PALE YANGA HII NDIO LIGI YA REKODI SASA
Kama ambavyo ilikuwa msimu uliopita wa 2022/23, Wekundu wa Msimbazi wameendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa mara nyingine tena (2023/24) ndani ya...
MASTAA HAWA YANGA WAREJEA KIKOSINI
Nyota watatu wa Yanga wamerejea kikosini kwa ajili ya kuanza maandalizi ya kuivaa Azam FC, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu unaotarajiwa kuchezwa kwenye...
SIMBA WAONA ISIWE TABU YAWARUHUSU MASTAA WAKE KUTUA HUKU
Wachezaji wa Simba Kibu Denis na Mzamiru Yassin wameonakena kwenye mazoezi ya kikosi cha timu ya Taifa Tanzania 'Taifa Stars' kinachojiandaa kucheza mechi ya...
BALAA LA MAXI YANGA……MANULA,INONGA KUMEKUCHA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
NZEGELI ATOA KAULI TATA, WAPINZANI TUMBO JOTO
Nyota wa Yanga, Maxi Nzengeli ametaja nguzo tano zinazowapa wachezaji nguvu ya kupata matokeo kwenye mechi za kitaifa na kimataifa wawapo uwanjani.
Chini ya Kocha...
ROBERTINHO APATA MBADALA WA INONGA
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema ana mpango wa kumtumia Kennedy Juma kwenye mechi za kimataifa kama mbadala wa Henock Inonga...
UNATAKA KUISHUHUDIA SIMBA VS AL AHLY VIINGILIO HIVI HAPA
Simba imetangaza viingilio vya mchezo wao dhidi ya Al Ahly ya Misri wakisema kiingilio cha chini kuona mchezo huo kitakuwa ni sh 7,000 tu.
Msemaji...
UONGOZI WA SIMBA UMEFUNGUKA HAYA KUHUSU WACHEZAJI WAKE WALIOITWA
Kuelekea mchezo wa African Football League klabu ya Simba imesema timu hiyo itaingia kambini kesho Alhamisi Oktoba 12, 2023 kwa ajili ya kujiweka sawa...
KIONGOZI WA YANGA AFUNGUKA KUHUSU KUMFUKUZA ROBERTINHO
Makamu Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema kama angekuwa kiongozi wa Simba SC basi tayari angekuwa amemtimu kocha wa Simba...