Tag: soka la bongo
KIKOSI CHA SIMBA KIMESHATUA ZAMBIA KIBOSI
Kikosi cha wachezaji na Benchi la Ufundi la Simba Sc Wamewasili Salama nchini Zambia tayari Kwaajili ya Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Mzunguko...
MAXI : MOTO UTAWAKA ……ROBERTINHO AONYESHA VIDOLE VITATU
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
YANGA : AL MAREIKH WANAKUFA NYINGI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOIFUATA POWER DYNAMO
Simba SC leo Septemba 14, 2023 wamekwea 'pipa' kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya kwenda kuanza rasmi safari yao kwenye michuano ya Klabu Bingwa...
POWER DYNAMO WALIFICHA SILAHA ZAO HAPA KUHUSU SIMBA
Shabiki wa Klabu ya Simba, Aggy Danny maarufu kama Aggy Simba, amesema kuwa wapinzani wao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa frika, Power Dynamos...
ROBERTINHO HANA WASI NA ZAMBIA, AWATUMIA WAMBA HAWA KUMALIZA KAZI
Licha ya kuwahi kucheza na Power Dynamos ya Zambia na kupata matokeo mazuri, lakini Kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ anaendelea kuwafatilia kwa...
RAIS WA YANGA AWATEMBELEA VIGOGO HAWA WA JANGWANI
Rais wa Yanga SC, amemtembelea Mwenyekiti wa zamani wa klabu, Dk. Jabir Idris Katundu mapema leo nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na...
MWAMNYETO KUIKOSA AL MARREKH ISHU IKO HIVI
Klabu ya Yanga Sc inatarajia kuondoka nchini leo Alhamisi, Septemba 14, 2023 kuelekea nchini Rwand bila nahodha wao Bakari Ndono Mwamnyeto.
Nahodha huyo ataukosa mchezo...
GAMONDI AWAFANYIA UMAFIA WAARABU
Kikosi cha Yanga kinahesabu saa tu kabla ya leo jioni kuanza safari kuwafuata wapinzani wao, Al Merrikh lakini kuna hesabu za kimafia zimepigwa na...
YANGA HII SASA TOO MUCH
Wakati matokeo ya msimu uliopita ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika na Al Hilal ya Sudan yakimuumiza kichwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Angel...