Home Tags Soka

Tag: soka

SIMBA HATA WAONGEZA POINTI KIASI GANI, YANGA ITAWASHUSHA TU. KAMWE

0
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa nafasi yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu uko palepale...

HATIM AWASHAURI JAMBO HILI YANGA UPANDE WA KOCHA

0
Mchambuzi wa soka, Haatim Abdul amesema Yanga SC wanahitaji mwalimu wa wafungaji kwani wanapata nafasi nyingi lakini wanashindwa kuzitumia. Amesema, Yanga wanatakiwa kumtafuta mwalimu anayeweza...

UONGOZI WA SIMBA WAKIANGUKIA KIKOSI CHA TIMU HIYO, KISA MATAJI YA...

0
Mabosi wa Simba wamekiangalia kikosi cha timu hiyo na kusema kikipata muunganiko na kurejesha soka lake, basi wapinzani watapata tabu sana kwani hawataacha kitu...

KWA SIMBA HII, TATIZO NI MZAMIRU, ISHU IKO HIVI

0
Simba imeanza kusaka taji la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Mtibwa Sugar. Lakini kwa tathmini ya haraka shida...

DOUMBIA NA YANGA MPAKA KIELEWEKE ISHU IKO HIVI

0
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’...

DJUMA SHABAN NA YANGA SASA SHUGHULI IMEKWISHA, HATA SIMBA FRESH TU

0
Uongozi wa Yanga umempa barua ya kumuacha huru aliekuwa mlinzi wake wa kulia Raia wa Jamhuri ya Congo Djuma Shaban. Beki huyo ambaye alikuwa tegemezi...

GAMONDI ATAMBA KUICHAKAZA ASAS KESHO, HUKU AKIJITETEA HIVI

0
Kesho Agosti 20 katika Uwanja wa Azam Complex utachezwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika mchezo utakaowakutanisha mabingwa wa Ligi ya Djibouti ASAS...

SALIM ALLY AISHIKA PABAYA SIMBA….. ISHU IKO HIVI

2
Bila kupepesa macho ukiambiwa utaje mchezaji bora wa michuano ya ngao ya jamii basi jina la Ally Salim utalikuta pale juu..to be honest kijana...

MANARA AWATOLEA UVIVU TFF KISA CHAMA, AZIZ KI…. ISHU IKO HIVI

0
Msemaji wa Klabu ya Yanga aliyefungiwa na TFF, Haji Manara amewakingia kifua wachezaji wa soka wenye mikataba binafsi na kusema kanuni za Shirikisho la...

KWA HILI GAMONDI LAZIMA AKUNR KICHWA YANGA

0
Pazia na michuano ya kimataifa kwa msimu wa 2023-2024 lilifunguliwa Jana Agosti 18 kwa mechi za raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa na...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS