Tag: soka
SIMBA WAPATA PIGO…. KRAMO MAMBO SIO MAMBO, DAKTARI AANIKA UKWELI WOTE
Kutokana na sintofahamu iliyoibuka juu ya wapi alipo winga wa Simba, Aubin Kramo raia wa Ivory Coast, ambaye tangu amesajiliwa na Simba, hajacheza mechi...
ISHU YA AUCHO IKO HIVI UKO CAF
Unaweza kusema kiungo Khalid Aucho ameanza na gia kubwa msimu huu. Kiungo huyo wa Kimataifa kutoka Uganda alin'gara katika kikosi cha Yanga kwenye mechi...
DOUMBIA KUMBE HAJAMALIZANA NA YANGA, ISHU IKO HIVI
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’.
Taarifa...
AHMED ALLY ACHAFUKWA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU SIMBA MBOVU
Meneja wa Habari na Mawasiliano Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema wachezaji na benchi la ufundi wanastahili pongezi kwa kucheza mechi nne ndani ya...
SKUDU ATIMKA YANGA, UONGOZI WAFUNGUKA…. ISHU IKO HIVI
Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa winga wake Mahlatse Makudubela 'Skudu' ameondoka nchini jana kurudi kwao Afrika Kusini kwa ajili ya kushughulikia zoezi la kupata...
YANGA KUTUMA UJUMBE AFRIKA NZIMA JUMAPILI HII, ALLY KAMWE ATAMBA
Ofisa Habari wa Klabu ya Young Africans Sports, Alikamwe amesema kuwa watakachokwenda kukifanya dhidi ya wapinzani wao ASAS FC siku ya Jumapili zitakuwa ni...
KIPIGO CHA YANGA DHIDI YA SIMBA CHAMUIBUA MAYELE…… AFUNGUKA HAYA
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema kuwa licha ya Yanga kupoteza kwa kushindwa kubeba Ngao ya Jamii mbele ya Simba anaamini...
MASTAA YANGA SASA WAWAZA KIMATAIFA…… ISHU IKO HIVI UKO CAF
Wachezaji wa Young Africans wamesema kwa sasa nguvu na akili zao wamezielekeza katika mchezo wa hatua wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika, huku...
GAMONDI ATESWA NA NGAO YA JAMII, AWAFUNGIA MASTAA NDANI, AKILI YOTE...
Baada ya kukosa ubingwa wa Ngao ya Hisani timu za Yanga, Singida Fountain Gate na Azam FC sasa zimegeuzia akili zao kwenye michuano ya...
KUMBE YANGA NAO HAWAJAMALIZA…. CHUMA HIKI HAPA JAGWANI
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, umedhamiria kuiboresha safu ya ushambuliaji, baada ya kuona mapungufu katika michezo ya Ngao ya Jamii,...