Tag: soka
CHE MALONE AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU BIFU LAKE NA INONGA
Beki kisiki wa Klabu ya Simba, Che Fondoh Malone Junior raia wa Cameroon amekiri kuwa wana mapungufu katika safu yao ya ulinzi ndiyo maana...
SOKA LA BONGO LIMEENDELEA KUPASUA ANGA HUKO CAF UNAAMBIWA NAMBA HAZIDANGANYI
Klabu za Tanzania zimeonekana kujitutumua katika mashindano ya klabu Afrika katika kipindi cha miaka 10 iliyopita kuanzia 2013 hadi 2023 kulinganisha na hapo nyuma...
KUELEKEA MECHI ZA CAF KLABU BINGWA…..SIMBA WAITAMBIA ASEC MASHABIKI WA KWA...
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawaonyesha nguvu ya mashabiki wapinzani wao ASEC Mimosas kwa vitendo kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo.
Novemba 25...
ROBERTINHO AWATUMIA SALAMU HIZI SIMBA
Kocha wa zamani wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewatumia salamu nyingine mashabiki wa Simba akiwaambia ukiacha zawadi ya taji la Ngao ya Jamii alilowaachia...
MANARA AKABIDHIWA KIPAZA SIKU YA MCHEZO WA MOROCCO
Kila mmoja wetu Mungu amemtunuku kitu special vile atakavyo. Wengi tuko tofauti katika vitu vingi, japo muda mwingine tunaweza kufanana katika hili na lile.
Jumanne...
SIMBA NAE AJIOKOTEA KIBONDE WAKE …… SIO KWA KIPIGO HIKI
Leo kikosi cha Simba SC kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City na kushinda goli 4-0.
Wafungaji wa magoli hayo ni beki Che Malone,...
MANARA AMWAGIA SIFA HIVI NGOMA
Aliyekuwa Afisa Mhamasishaji wa Yanga,Haji Manara amesema kuwa Kocha Robertinho Oliveira alikua anakosea kumpanga Fabrice Ngoma katika eneo la kiungo cha ukabaji wakati kwa...
YANGA WAMTAKA AUCHO ARUDI UWANJANI…… WATUMIA MBINU HII
Siku moja tu tangu Kamati ya Kusimamia na Kuendesha Ligi ya Bodi ya Ligi (TPLB) kutangaza kumfungia kiungo wa Yanga, Khalid Aucho kwa mechi...
KUTOKA TANZANIA,BURUNDI MPAKA BAYERN MUNICH
Shirikisho la Soka la Burundi bado linatumai kumshawishi Nestory Irankunda kuchezea nchi ya wazazi wake baada ya kijana huyo kukubali kuhamia kwa wababe wa...
UONGOZI SIMBA WAWAANGUKIA WACHEZAJI, ISHU IKO HIVI
Uongozi wa Simba SC umewataka Wachezaji wa Klabu hiyo kupambana na kutambua uchungu wanaoupata Mashabiki na Wanachama pale mambo yanapokwenda mrama.
Ombi hilo kwa Wachezaji...