Tag: soka
MAMELODI SUNDOWN YAANDIKA HISTORIA BAADA YA KUTWAA UBINGWA AFL KWA KUICHAPA...
WENYEJI, Mamelodi Sundowns wamefanikiwa kutwaa taji la michuano mipya, African Football League baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wydad Athletic Club ya...
SWALI GUMU AKIONDOKA TRY AGAIN ……… JE AJE NANI?
Salim Abdallah Muhene. Huku mtaani anafahamika zaidi kama Salim ’Try Again.’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba. Aliteuliwa kwa mara ya pili mwaka...
WAPINZANI WA YANGA LIGI YA MABINGWA KAZIKAZI HAINA KUPOA
Wakati wananchi wakicheza mechi ya mwisho ya ligi Novemba 8 kisha watapumzika mpaka Novemba 24 kukipiga dhidi ya CR Belouizdad kwenye Makundi ya CAFCL.
Hali...
HIVI HILI LA CHE MALONE LIMEKAAJE KITAALAMU
Beki wa Simba Che Malome, siku ya Jumapili tarehe 05.11.2023 wakati wanakandwa kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwaa watani zao Yanga, alionyeshwa kadi mbili...
UNAAMBIWA HUKO JANGWANI NI MWENDO WA SUPU TU ……. HERSI ATOA...
Mashabiki na wanachama wa Klabu ya Yanga wamejitokeza kwa wingi kunywa supu leo Jumapili Novemba 12 2023 katika ofisi za makao makuu ya klabu...
KIPIGO CHA 1-5 CHAMPONZA AMINA APOKEA KIFINYO
Amina Ndunguru (39) Mkazi wa Makoka, amenusurika kifo baada ya kujeruhiwa vibaya kichwani hususani sehemu ya jicho la kushoto, kutokana kipigo kinachodaiwa kufanywa na...
YANGA WAMCHUNGE SANA HUYU MWAMBA LIGI YA MABINGWA
Mtangane kati ya CR Belouizdad wapinzani wa Yanga kwenye CAFCL kwa dakika 90 dhidi ya USM Alger umemaliziks na CR wamefungwa bao 2-1 wakiwa...
MCHEZAJI AFARIKI UWANJANI
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ghana, Black Stars, Raphael Dwamena amefariki dunia baada ya kuanguka uwanjani leo wakati wa mechi kati ya timu...
GAMONDI AMUA KUFANYA KWELI LIGI YA MABINGWA
KOCHA Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameanza kuwafatilia CR Belouizdad ya Algeria kuona ubora wa wachezaji wake kwa ajili ya kukabiliana katika mchezo...
ROBERTINHO AGUSIA USAJILI WA SIMBA
Katika mastaa wapya tisa wa mwisho kusajiliwa na Simba wachezaji wenye viwango vya ukubwa wa klabu hiyo ni wawili tu, Che Malone na Fabrice...