Tag: usajili
JKT TANZANIA NA SOKO LA USAJILI DIRISHA DOGO
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema ana mpango wa kusajili wachezaji wawili kwenye dirisha dogo ili kikosi chake kizidi kufanya vizuri kwenye...
HAPA SIMBA WAVUNJE TU BENKI MAANA SIO KWA DAU HILI
Mabosi wa Simba wanaendelea kukuna kichwa juu ya kumalizana na kocha Abdelhak Benchikha ambaye ndiye pekee aliyepenya kwenye mchujo uliofanyika, ili wamlete kuchukua nafasi...
SIMBA QUEENS WASHUSHA WINGA MPYA KUTOKA CONGO
Kikosi cha Simba Queens kimefanikiwa kupata saini ya winga Diakiese Isabelle kutoka klabu ya Feminin Espoir kwa mkataba wa miaka miwili.
Diakiese anakuwa mchezaji wa...
BALEKE HUYOOO JANGWANI, ISHU KAMILI IKO HIVI YANGA WANABALAA
Wakati huu ambao Yanga wanaonekana kukosa mshambuliaji sahihi wa kumrithi Straika wao alietimkia Misri Fiston Mayele.
Mchambuzi wa michezo kutoka TV3, Alex Ngereza anatuarifu kuwa...
WACHEZAJI HAWA SIMBA WAPEWA MWEZI MMOJA……..TRY AGAIN ATOA TAMKO LA KISHUJAA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salum Abdallah 'Try Again' amewapa mwezi mmoja na nusu mastaa wao kutumia kipindi hicho kujihakikishia nafasi ya...
ZRANE YUPO TAYARI KURITHI MIKOBA YA ROBERTINHO SIMBA
Aliyewahi kuwa Kocha wa Viungo wa Simba SC, Adel Zrane, amefungua milango ya kufanya kazi na miamba hiyo ya Msimbazi, endapo Uongozi wa juu...
RAIS WA YANGA AANZA MIKAKATI, BAADA YA GAMONDI KUMPA LIST HII
Wakati mashabiki na wapenzi wa Yanga wakiendelea kutamba mtaani kutokana na kiwango bora kilichoonyeshwa na timu hiyo iliyoshinda mechi nane kati ya tisa za...
KIUNGO MSHAMBULIAJI WA SIMBA KUTIMKIA GEITA GOLD
Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Saidi Ntibazonkiza hayupo kwenye mipango ya klabu ya Simba kwa baada ya dirisha lijalo la usajili kupita na tayari klabu...
YANGA AMTAFUTIA MSAIDIZI KIUNGO MKABAJI
Swali ni moja tu, Kwa mfano pale Yanga Khalid Aucho anaumia,Yanga wanaenda kucheza na CR BELOUZDAD ugenini, fikiria eneo la kiungo mkabaji atacheza nani...
HERSI ATUA KAIZER CHIEFS KWAAJILI YA MIAMB HII
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said yupo nchini Afrika Kusini ametembelea klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo (PSL)
Katika ukurasa wake wa...