Tag: usajili
AHMED ALLY AFUNGUKA KUHUSU FUNGULIA MBWA YA YANGA, ALLY KIBA AHUSISHWA
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Afisa Habari wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally ameandika..
"Hadhi na Heshima ya King Ally Kiba sio kuimba...
SAKHO AFUNGUA HAYA KUHUSU KUCHEZA SIMBA HADI KUTIMKA KWAKE
MSENEGAL Pape Ousmane Sakho ambaye amejiunga na US Quevilly-Rouen ya Ligi Daraja la Kwanza Ufaransa 'Ligue 2', ameeleza kuichezea Simba ni kati ya maamuzi...
DILI LA MAHOP LAINGIA MDUDU, HUKU CAF IKITOA SIKU TATU TU...
dili la mshambuliaji Mcameroon, Emmanuel Mahop limeingia mdudu na limebakiza sekunde chache kabisa kuishia njiani. Amewagawa mabosi wa Yanga ambapo wengi wameingiwa mashaka haswa...
HUYU HAPA MRITHI WA MAYELE, ATAMBULISHWA USIKU MNENE
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuinasa saini ya mshambuliaji, Hafiz Konkoni (23) Bechem United ya Ghana kwa kandarasi ya miaka miwili.
Konkoni ambaye amesajiliwa kuziba pengo...
MAMBO YAPO HIVI ISHU YA MKUDE KUONDOKA KAMBINI YANGA
WAKATI tetesi zikieleza kuwa kiungo mkabaji ingizo jipya ndani ya Yanga Jonas Mkude amesepa kambini AVIC habari za kuamini zimebainisha kuwa nyota huyo yupo...
WALE WANAOBEZA KUREJEA KWA LUIS MIQUISSONE WATULIE KWANZA, VIGOGO SIMBA WAFUNGUKA
UONGOZI Simba, umeweka wazi kuwa, wale watu wanaobeza wao kumrejesha Luis Miquissone, watulie kwani watamshangilia huko mbeleni baada ya kushangazwa na uwezo atakaouonesha.
Winga huyo...
ROBERTINHO ATAMBA KUHUSU MSIMU UJAO,… LUIS MIQUISSONE ATAJWA
SIMBA imeendelea kujifua nchini Uturuki kwaajili ya msimu mpya huku kocha mkuu wa kikosi hicho Roberto Oliveira akitamba kutisha zaidi msimu ujao.
Robertinho juzi alipata...
LUIS MIQUISSONE ATINGA UTURUKI KIBABE AKUTANA NA WAMBA HAWA, HATARI TUPU
LUIS Miquissone kiungo wa Simba baada ya kujiunga na wachezaji wenzake nchini Utuki ameanza mazoezi tayari kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24.
Kiungo huyo...
SIMBA YAWEKA MITEGO HUU WA KIBABE KWA KIBU KIBU DENIS
Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Denis amejihakikishia nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza cha msimu ujao, licha ya maingizo mapya ya wachezaji...
SAKHO BAADA YA KUMTIMKA SIMBA SC, ASEMA HAYA KUHUSU MANE KWENYE...
Aliyekuwa Kiungo Mshambuliaji ‘Winga’ wa Simba SC Pape Ousmane Sakho amemshukuru Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich, Sadio Mane kwa...