Tag: yangasc
SIMBA NA YANGA ZAISHTUA AFRIKA…ZAPANDA VIWANGO VYA CAF KWA KASI YA...
Klabu za Simba na Yanga zimepanda katika viwango vya ubora kwenye michuano ya CAF baada ya kukamilika kwa hatua ya makundi ya michuano ya...
YANGA SC YAIBUKA NA HILI…YAMFUA MORISSON SPESHO KWA AJILI YA SIMBA
Benchi la ufundi la Yanga limeanza mapema kusuka mipango ya kuicheza Kariakoo Derby itakayopigwa Aprili 16 kuanzia saa 11:00 Kwa Mkapa.
Moja na mikakati...
MAPYA YAIBUKA JANGWANI…HARMONIZE “SITOISHABIKIA TENA YANGA SC
Msanii anayefanya vyema katika game ya Bongo Fleva, harmonize kupitia insta story yake ameshea ujumbe ambao anasema
hatoshangilia tena ushindi wa @yangasc kwa sababu kushinda...
KOCHA YANGA ANATUMIA NDOTO KUPANGA KIKOSI…ALIOTA FARID ANAIFUNGA TP MAZEMBE
KOCHA Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameufuatilia mchezo wao dhidi ya TP Mazembe akiwa kwake Ubelgiji wakishinda kwa bao 1-0 lakini akafichua kwamba usiku...
HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KILICHOIUA TP MAZAMBE…MASTAA HAWA NI BALAA
Mabingwa wa kutandaza kandanda safi barani Afrika, kandanda lilioenda shule, kandanda lenye viwango vya UEFA hapa nawazungumzia Young Africans walishuka dimbani huko Lubumbashi nchini...
YANGA YAWEKA REKODI HII MPYA…HAKUNA TIMU ILIYOWAHI…AFRIKA YATETEMA
Record Ya Taifa
Record Ya Tanzania
Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kumfunga MAZEMBE nje ndani
RECORD
Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga TP Mazembe ndani...
YANGA SC 1-0 TP MAZEMBE…WANANCHI WAKAA KILELENI…MAZEMBE WAPIGWA CHA UCHUNGU
Wawakilishi wa Tanzania Katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Timu ya Yanga imehitimisha michezo yake ya hatua ya Makundi kwa kushusha dozi katika...
GEITA GOLD YAAPA KULIPA KISASI KWA YANGA…POINTI TATU ZAPANIWA
Wakati mashabiki wakiiwazia Geita Gold kwamba ina mlima mkubwa mbele ya Yanga kwenye Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), wao wanasema matamanio yao ni...
BEKI HUYU HATARI WA YANGA AZUA GUMZO…KOCHA CAF AMPIGIA SALUTI
BEKI wa kati ya Yanga na timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ bado gumzo kwa wadau wa soka nchini, huku kocha wa...
MASHINE HII HATARI YA YANGA YAREJEA…NI BAADA YA KUPATA JERAHA LA...
KIPA wa Yanga Aboutwalib Mshery ameanza taratibu mazoezi ya viungo na 'gym' baada ya kufanyiwa Opresheni ya goti lake aliloumia mwishoni mwa mwaka huu...