Tag: yangasc
YANGA WAMUONGEZEA MPUNGA BEKI WAO HUYU…NI BAADA YA KUWAONYESHA MAAJABU
Rais wa Yanga Eng. Hersi Said pamoja na Uongozi wake wamevutiwa na kiwango bora cha beki wa kati Ibrahim Bacca anachoendelea kukionyesha kila anapopata...
HATIMAYE NABI AFUNGUKA…SIRI YA KUWANYUKA RIVERS UNITED…”HATUJAJA KUPIGA PICHA
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Mohamed Nabi amesema kuwa mchezo wao dhidi ya wapinzani wao, Rivers United ya Nigeria
haujamalizika kwani bado kuna dakika nyingine...
BEI YA KIKOSI CHA RIVERS NI SAWA NA BANGALA…NA CHENJI INARUDI
Achana na maisha ya kifahari ambayo Yanga inaishi jijini Uyo ambako leo itacheza dhidi ya Rivers United, wawakilishi hao wa Tanzania wameonyesha jeuri nyingine...
RIVERS UNITED WAZIDIWA KETE NA YANGA…WACHACHAWA! WAPAGAWA!…ISHU NZIMA IKO HIVI
YANGA tayari ipo Uyo, Kusini mwa Nigeria kukiwasha na wenyeji Rivers United leo Jumapili. Lakini River wamezidiwa kete na Yanga na kujikuta wakikuna kichwa...
YANGA VS RIVERS UNITED KUKIWASHA LEO…HUJUMA ZAWASHTUA WANANCHI
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young...
NABI AGEUKA MBOGO…AWARUKIA MAYELE NA MUSONDA…ISHU NZIMA HII HAPA
Kocha Mkuu wa Young Africans Nasreddine Nabi amewataka Washambuliaji wake Fiston Mayele na Kennedy Musonda kuongeza umakini kwenye kutumia nafasi wanazopata ili kufunga mabao...
SIMBA NA YANGA ZAFANYA KUFURU…ZIMEVUNA MAMILIONI HAYA KWA DK 90 TU
Taarifa kutoka TFF imeeleza kuwa, mchezo wa dabi ya Simba SC dhidi ya Yanga SC imeingiza mapato ya shilingi Mil. 410,645,000.
Katika mchezo huo, jumla...
KWA MARA YA KWANZA NABI AFUNGUKA…SABABU HIZI ZA KICHAPO CHA SIMBA
Nassredine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kilichowavuruga dhidi ya Simba ni bao la mapema ambalo chanzo chake hakikuwa cha uhakika.
Kwenye mchezo uliochezwa...
MAYELE AMPA SHAVU FEI TOTO CONGO…VIGOGO HAWA WA SOKA WANAMPA JEURI
Taarifa kutoka ndani ya TP Mazembe ya nchini DR Congo sehemu anayotoka mshambuliaji Fiston Mayele, zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo upo katika mipango...
BAADA YA KICHAPO CHA SIMBA…NABI AFUNGUKA HAYA..AMTAJA AZIZ KI
BAADA ya kukubali kichapo cha mabao 2-0, kutoka kwa Simba, kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema alikuwa na sababu kubwa ya kumweka nje...