AZAM FC KUTUPA KARATA YAO YA KWANZA LEO KIMATAIFA

0
AZAM FC, leo wana kazi ya kutupa kete ya kwanza mbele ya Fasil Kenema nchini Ethiopia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa majira...

TANZANITE YABEBA KOMBE LA COSAFA, YALIPA KISASI KWA ZAMBIA LEO

0
TIMU ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' leo imetwaa ubingwa wa michuano ya COSAFA nchini Afrika Kusini baada ya kulipa kisasi...

SIMBA WAIKOMALIA YANGA, WAIPA TANO KISHA KUICHANA KIMTINDO

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa Yanga wanastaihili pongezi ila wamewaangusha wananchi kwa kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Township Rollers jana uwanja...

ZAHERA AFICHUA KINACHOIMALIZA YANGA, APANIA KUPETA UGENINI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa bado kikosi chake hakijawa na maelewano mazuri jambo ambalo liliwapa taabu kupata matokeo kwenye mchezo wao...

SIMBA WAREJEA BONGO KUIWAHI AZAM FC

0
KIKOSI cha Simba baada ya kumaliza mchezo wao wa kimataifa dhidi ya UD do Songo nchini Msumbiji kilikwea pipa na kurejea Bongo.Simba walikuwa ugenini,...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili.

TANZANITE KUMALIZANA NA ZAMBIA LEO COASAFA

0
TIMU ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' leo itakuwa kazini kumenyana na timu ya Taifa ya Wanawake ya Zambia.Tanzanite imealikwa kwenye...

JESHI LA KMC KIMATAIFA LEO HILI HAPA DHIDI YA AS KIGALI

0
KIKOSI cha KMC kitakachowavaa leo AS Kigali ya Haruna Niyonzima leo nchini Rwanda

KIKOSI CHA YANGA LEO KIMATAIFA

0
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Township Rollers

MOHAMED SALAH AFUNGUA AKAUNTI MPYA HUKO ENGLAND

0
MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool ameanza kwa kasi msimu mpya wa Ligi Kuu England 2019/20.Salah raia wa Misri anayekipiga pia kwenye timu ya Taifa...