OKWI ATAKA 115M KWA MWAKA SIMBA
STRAIKA wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ameyaamsha tena mambo ndani ya klabu yake hiyo baada ya kuwaambia viongozi kwamba kama wanataka asalie klabuni hapo,...
SIMBA YAMALIZANA NA KIFAA KUTOKA TP MAZEMBE, KILIWAHI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA
Kazi ya kusajili wakali watakaohakikisha kikosi cha Mabingwa kinazidi kuwa tishio kwa wapinzani inaendelea.Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda (29) amejiunga na Mabingwa...
AMUNIKE AENDELEZA DHARAU, ASISITIZA HANA CHA KULAUMIWA
Na Saleh Ally, CairoKOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ameendelea kusisitiza kwamba yeye hana cha kulaumiwa.Amunike amesema mara baada ya Stars kupoteza mchezo...
WAKATI UMEFIKA TUMEACHE AMUNIKE AENDE ZAKE SALAMA, TUSONGE
NA SALEH ALLYMIAKA 39 michuano ya Kombe la Mataifa Afrika maarufu kama Afcon kwetu ilikuwa ni hadithi. Safari hii timu yetu ipo hapa jijini Cairo...
HATMA YA ZAHERA NA YANGA JUU YA MKATABA MPYA HII HAPA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga upo mbioni kumuongezea mkataba mpya kocha wake mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera wa kuendelea kukinoa kikosi hicho. Mkongomani huyo alijiunga...
JESHI KAMILI LA YANGA HILI HAPA, SALAAM ZAO WAPINZANI
YANGA ndiyo timu pekee iliyofanya usajili wa haraka na kukamilika kabla dirisha la usajili kufunguliwa rasmi jana.Dirisha hilo la usajili linatarajiwa kufungwa Julai 31,...
MANULA AVUNJA REKODI YA DAU USAJILI SIMBA
Kipa namba moja wa timu ya taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Aishi Manula, anatajwa kuwa mchezaji wa kwanza mzawa kusaini kwa dau...
BEKI MPYA MANCHESTER UNITED AMTAJA ALIYEMPELEKA UNITED
AARON Wan- Bissaka ambaye ni beki mpya ndani ya Manchester United amesema kuwa meneja wa timu hiyo Ole Gunnar Solkjaer ndiye amesababisha ajiunge na...