HILI NDILO BALAA LA MBRAZIL MPYAA ALIYETUA SIMBA, SI WA MCHEZO MCHEZO
MASHABIKI wa Simba wanatamba baada ya usajili wa mshambuliaji Mbrazili, Wilker Henrique da Silva ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili ya kukipiga Msimbazi.Usajili huo...
MBELIJIJI WA SIMBA ALETA KIBOKO YA TSHABALALA, KWASI
BAADA ya kumuongezea mkataba mpya wa miaka miwili ya kuendelea kubaki Simba, uongozi wa timu hiyo umepanga kusajili beki mwingine tishio atakayekuwa mbadala wa...
YANGA YAKAMILISHA FASTA USAJILI CAF
MABOSI wa Yanga wapo kwenye dakika za mwisho za kukamilisha usajili wao wa msimu ujao kwa ajili ya kuwahi dirisha la usajili la Shirikisho...
HAPA NDIPO MAJALADA YA STARS YANAPOJICHANGANYA, BADO TUNA NAFASI
TUMEANZA vibaya michuano ya Afcon mwaka 2019 huku sera yetu ikituambia kwamba ni zamu yetu kufanya makubwa na kufikia malengo kwa mwaka huu.Ikumbukwe kuwa...
FURAHA YA TAIFA IMEBEBWA NA TIMU YA TAIFA KWA SASA WACHEZAJI PAMBANENI
GANZI ambayo wanayo watanzania kwa sasa ni kuanza vibaya kwenye michuano ya Afcon hasa ukizingatia kwamba imepita miaka 39 bila timu yetu kushiriki.Hakuna wa...
TAMBWE AWAONYA SIMBA KWA JEMBE JIPYA LA YANGA
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ametamba kwamba Yanga wamelamba dume kwelikweli kwa kumsajili beki Mustapha Suleiman huku akiwaambia washambuliaji wa timu ya Simba,...
BAADA YA KUTUA TP MAZEMBE, AMBOKILE AIBUKA NA MPYA
MARA baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea TP Mazembe, mshambuliaji Mtanzania, Eliud Ambokile amefunguka kuwa hiyo ni njia kwake ya kwenda...
GADIEL AWATUMIA UJUMBE WA KIBABE KENYA, WALA HANA HOFU
BEKI wa kushoto wa Taifa Stars, Gadiel Michael, amewaondoa shaka Watanzania na kuahidi kupambana kufa na kupona katika mchezo wa leo Alhamisi dhidi ya...
YANGA KUTISHA AFRIKA NZIMA, HII NDIYO SABABU
ACHANA na Yanga mbovu ya msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, kwani ya msimu ujao itakuwa tishio kutokana na aina mpya ya usajili aliyokuja...
YANGA YASAJILI BEKI AFCON
HATIMAYE ahadi ya Waziri wa zamani na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba imetimia baada ya kuzama mfukoni kwake na kufanikisha usajili wa beki...