SABABU YA YANGA KUWEKA KAMBI MAPEMA MORO YATAJWA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umeanza maandalizi ya Ligi mapema ili kuandaa kikosi kitakacholeta ushindani msimu ujao. Akizungumza na Saleh Jembe, Makamu Mwenyekiti wa...
MO SALAH NA SAMATTA KUWATAZAMA WABABE HAWA WALIOTINGA ROBO FAINALI
BAADA ya kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kilicho chini ya nahodha Mbwana Samatta kufungasha virago kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri...
AZAM FC MZIGONI LEO KAGAME KUMENYANA NA KCCA
MABINGWA watetezi Azam FC leo watakuwa kazini kumenyana na KCCA kwenye michuano ya Kagame inayoendelea nchini Rwanda.Mchezo wa kwanza Azam FC walipata ushindi wa...
KMC KUIKAZIA TP MAZEMBE
UONGOZI wa KMC umesema kuwa leo utapambana kupata matokeo chanya mbele ya TP Mazembe kwenye mchezo wa pili wa michuano ya Kagame.Akizungumza na Saleh...
KIKOSI CHA NAMUNGO FC 2019-20
KIKOSI cha Namungo FCMakipaAdamu OsejaLucas ChembejaWalinziMizar KristomAlly KoroshoJukumu KibandaFaisal Mganga Hamisi Mgunya Paul NgalemaCarlos Protus ViungoHamisi Nyenye John MbiseDaniel Joram Ben Silvester Jamal Dulaz Steve Nzigamasabo Lukas Kikoti Selemani Bwenzi WashaambuliajiReliants Lusajo Abeid AthumaniJohn KelvinBigirimana...
MTIBWA SUGAR: HATUNA PRESHA NA VURUGU ZA SIMBA NA YANGA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa hauna hofu na fujo za timu kubwa ambazo zinafanya usajili wa kutisha kwani wao wana kiwanda cha kutengeneza...
NDANDA, KAGERA SUGAR ZAIKOMALIA MWADUI FC
KLABU za Mwadui FC, Kagera Sugar na Ndanda FC zipo vitani kwa ajili ya kupata saini ya kiungo Abdallah Seseme.Kiungo huyo bado timu yake...
ZAHERA AFUNGUKA JUU YA AJIBU KUSAINI SIMBA
Kocha Mkuu wa Yanga, Emmanuel Amunike amesema kuwa inawezekana Ibrahim Ajibu aliogopa kujiunga na TP Mazembe ya Congo ndiyo maana alikataa kusajiliwa.Zahera ambaye hivi...