KIUNGO mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba, Tatenda Perfect Chikwende amesema anaamini uwepo wa mashindano mengi ambayo Simba inashiriki ni miongoni mwa vitu vitakavyomsaidia kukuza kiwango chake.Chinkwende amejiunga na Simba akitokea kwenye kikosi cha klabu ya FC Platinum ya...
BAADA ya kiungo Mkongo Karim Kinvuid Kiekie kuhusishwa kumalizana na klabu ya Simba, hatimaye kiungo huyo amefunguka kuwa hajafanya mazungumzo na uongozi wa SimbaKiekie alicheza katika mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania na Congo uliofanyika katika Uwanja wa Mkapa...
NYOTA mpya wa Klabu ya Yanga, Razack Adulazack amesema kuwa amesaini mkataba wa miezi sita hivyo atapambana kufanya vizuri katika muda huo ili aweze kutimiza majukumu yake.Razack anakuja ndani ya Yanga inayonolewa na Cedric Kaze kuongeza nguvu kwenye safu...
KOCHA mkuu wa Ruvu Shooting, Charles Boniface Mkwasa amesema kuwa anaamini uwekezaji mkubwa uliofanywa na Yanga kwa kusajili wachezaji bora ni miongoni mwa sababu kubwa za mafanikio ya kikosi hicho kilicho chini ya kocha Mrundi, Cedric Kaze.Yanga imekuwa yamoto...
CRYSTAL Palace ina matumaini ya kuthibitisha kupata saini ya mshambuliaji wa Klabu ya Mainz, Jean-Philippe baada ya kutua London kwa ajili ya vipimo siku ya Jumatano.Imeripotiwa kuwa mkataba wake wa mkopo utakuwa ni wa muda wa miezi 18 ambapo...
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa vijana walicheza vizuri ila makosa yaliwafanya washindwe kupata matokeo ndani ya uwanja.Matola amesema kuwa nafasi ya kufanya vizuri ipo kwa kuwa wana mechi mbili mkononi...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amesema kuwa kiungo wa timu hiyo, Carlos Sténio Carlinhos anatarajia kurejea kikosini kuungana na wenzake baada ya majeraha yake kuendelea vizuri. Kaze alisema baada ya kiungo huyo kukaa nje kwa wiki kadhaa sasa yupo...
ARSENE Wenger kocha wa zamani wa Klabu ya Arsenal amesema kuwa mchezaji wake wa zamani Mesut Ozil alichanganyikiwa kutokana na kutokuwa na nafasi ya kucheza ndani ya kikosi cha Arsenal.Wenger alikuwa ndani ya kikosi hicho msimu wa 1996-2018 ambapo...
MTAMBO wa mabao ndani ya Klabu ya Namungo FC, Bigirimana Blaise atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu akitibu majeraha yake ya mguu.Nyota huyo alipata majeraha hayo kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi Uwanja...
KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Charles Mkwasa amesema kuwa anaamini timu hiyo itafanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kuwa ina wachezaji wazuri na wenye morali.Ruvu Shooting kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya tano ikiwa...