IMEELEZWA kuwa Bernard Morrison nyota wa kikosi cha  Simba atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita kutokana na matatizo ya kiafya.Nyota huyo amekuwa hana nafasi ndani ya kikosi cha Simba baada ya kuibukia huko akitokea Klabu ya...
 IMEELEZWA kuwa Perfect Chikwende nyota wa Klabu ya FC Platinum yupo kwenye hesabu za mwisho kutua ndani ya Klabu ya Simba.Awali nyota huyo ambaye alimtungua Aishi Manula kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika alikuwa anatajwa kutua ndani ya...
 KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa kikosi cha Simba hakina uwezo wa kuwa na makali ndani ya uwanja ikiwa mchezaji wao Clatous Chama hatakuwepo.Yanga ilishinda kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi mbele ya Simba kwa ushindi wa...
 MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa 
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa 
 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa nyota wa wawili watakuwa sehemu ya kikosi ambacho kimeweka kambi Visiwani Zanzibar kwa muda wa siku 10 ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara.Nyota hao ni pamoja na mshambuliaji wao...
 Kikosi cha Simba leo Januari 14, 2021 kimewasili salama jijini Dar es Salaam kikitokea Zanzibar baada ya kukosa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kufungwa na  watani wao, Yanga kwa penalti 4-3, katika fainali ya Mapinduzi kwenye Uwanja wa...
  Mwenyekiti wa yanga mshindo Msolla amefunguka baada ya timu yake kuchukua Ubingwa wa Mapinduzi kwa kuwafunga watani wao Simba jana Januari 13, 2021 katika Uwanja wa Amani Zanzibar.Amesema Kikosi cha Yanga kitatua kesho mchana kwa boti Maalum na wataelekea...
  CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa anaamini uwezo wa mshambuliaji wake, Michael Sarpong ni mkubwa lakini kwa sasa anakwama kufanya vitu vizuri kutokana na kukosa watu sahihi wa kumpa pasi za mwisho. Ndani ya Ligi Kuu Bara, Sarpong...
 TIMU ya Sheffield United, juzi ilifanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu England baada ya kuwachapa Newcastle United bao 1-0. Katika michezo yake 17 iliyopita, vijana hao walifanikiwa kupata sare kwenye michezo miwili, wakipoteza michezo 15 kabla ya...