MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga leo ameshuhudia vijana wake wakisepa na pointi tatu mazima mbele ya Namungo FC kwa ushindi wa bao 1-0, kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi, Uwanja wa Amaan.Shukrani kwa Haruna Niyonzima aliyekuwa nahodha kwenye...
ISHU ya Kocha mpya anayekuja kuchukua mikoba ndani ya Simba na rekodi zake akija kuchukua mikoba ya Sven Vandenbroeck ambaye amebwaga manyanga Januari 7 ni kesho ndani ya Championi Jumamosi
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Januari 8 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa pili wa Kombe la Mapinduzi, Uwanja wa Amaan.Huu ni mchezo wa pili kwa Yanga baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Jamhuri na...
KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola kimeanza kwa ushindi kwenye mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi.Simba imeshinda mabao 3-1 mbele ya Chipukizi ambayo imefungasha virago jumla kwenye mashindano hayo kwa kuwa...
LEO Januari 8 droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika impengwa huku Simba ikipangwa kundi A ma vigogo Al Ahly ya Misri kwenye kusaka ushindi wa kutinga hatua ya robo fainali.Makundi yamepangwa namna hii leo:-Kund AAl Ahly ya MisriAS...
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Yanga, Saido Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2020/21Saido ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda kiungo Clatous Chama wa Simba na kiungo mshambuliaji wa Dodoma...
HATUA ya mtoano, Kombe la Shirikisho Afrika lipo namna hii:-
BAADA ya kutoka suluhu dhidi ya Jamhuri FC, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amepanga kukifanyia maboresho kikosi chake katika mchezo ujao wa Kombe la Mapinduzi akiahidi kushusha ‘full’ mziki akiwemo Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’. Yanga katika mchezo uliopita wa...
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Januari 8 dhidi ya Chipukizi, Kombe la Mapinduzi