MWADUI FC jana Machi 14 wamesepa na pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.Wallace Kiango dk ya 12 alianza kuifungia bao timu yake ya Mwadui na Rapahael Aloba alimaliza kwa msumari wa ushindi dk...
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa furaha yake ni kufunga na atakuwa akifanya hivyo kila akipata nafasi.Kagere ni kinara wa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Baa akiwa ametupia mabao 19 akikimbizana na wazawa kama Relliants Lusajo, Yusuph Mhilu...
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la SPOTIXTRA Jumapili, unajipatia ndinga kwa jero tu
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wanashindwa kutumia nafasiwanazozipata jambo linalowapa ugumu kusepa na pointi tatu.Azam FC imefunga mabao 37 kwenye mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2019/20 huku mbaya wao wa...
ERICK Kabamba, Yikpe Gnamien,David Molinga, ni miongoni mwa wachezaji wa kigeni ambao wanajadiliwa na uongozi wa Yanga ili kujua hatma yao ndani ya kikosi hicho ambacho kinaelekea kufanya mabadiliko makubwa.Habari zinaeleza kuwa licha ya Molinga kuwa mfungaji namba moja...
BAADA ya kupewa zigo la mabao na Simba Uwanja wa Taifa wa mabao 8-0 huku nyota wao Haruna Moshi 'Boban' akiambulia kadi nyekundu, leo Singida United wamemaliza hasira zao kwa kuichapa Mbeya City mabao 2-1.Mchezo huo wa Ligi Kuu...
TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya miaka 17 leo imefungashiwa virago kwenye safari ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia kwa Wanawake linalotarajiwa kufanyika mwaka huu nchini India.Tanzania imepoteza kwa kufungwa mabao 5-0 mbele ya Uganda na...
ASTON Villa na Brighton zote timu za England zimechangia zaidi ya milo 1300 kama misaada kwa wasio na makazi baada ya mechi za wiki hii kuahirishwa.Ijumaa ya wiki hii Ligi kuu ya England imesitishwa hadi Aprili 3 kutokana na...
IMEELEZWA kuwa endapo kutakuwa na kipindi kirefu cha kusimamishwa Ligi Kuu ya England kutokana na kampeni ya kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona itathibitishwa kwamba Liverpool ndio watakuwa mabingwa kwa msimu huu wa 2019/20.Kutokana na kusimamishwa kwa Ligi Kuu...
BADO kuna mambo ambayo yanaendelea kwenye Ligi Kuu Bara pamoja na Ligi Daraja la Kwanza yanafurahisha na kuumiza pia wakati mwingine kutokana na namna ambavyo yanatokea huku wahusika wakiwa kimya kama hakuna kitu ambacho kimetokea.Huku kwenye Ligi Daraja la...