Kesho Agosti 20 katika Uwanja wa Azam Complex utachezwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika mchezo utakaowakutanisha mabingwa wa Ligi ya Djibouti ASAS na mabingwa wa Ligi ya Tanzania Yanga.
Miguel Gamondi kocha wa Yanga amesema wamejipanga vizuri kwa...
Kocha wa zamani wa Yanga,raia wa Uganda Sam Timbe amefariki dunia mchana wa leo baada ya kuugua ghafla na mauti yakamfika wakati anapelekwa hospitali.
Mpaka mauti yanamfika,Timbe alikuwa kocha wa URA na jana alikiongoza kikosi kufanya mazoezi kabla ya leo...
Bila kupepesa macho ukiambiwa utaje mchezaji bora wa michuano ya ngao ya jamii basi jina la Ally Salim utalikuta pale juu..to be honest kijana alikuwa na wakati mzuri sana, ukiachana na kupangua mikwaju ya penati bado alifanya Saves muhimu...
Msemaji wa Klabu ya Yanga aliyefungiwa na TFF, Haji Manara amewakingia kifua wachezaji wa soka wenye mikataba binafsi na kusema kanuni za Shirikisho la mpira Tanzania (TFF) zimekuja kuwanyonya wachezaji ambao ndiyo wadau namba moja.
Manara ambaye amekuwa akiwapigania wachezaji...
Pazia na michuano ya kimataifa kwa msimu wa 2023-2024 lilifunguliwa Jana Agosti 18 kwa mechi za raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika.
Mapema saa 10 jioni ilikuwa KMKM dhidi ya St George ya Ethiopia...
Kutokana na sintofahamu iliyoibuka juu ya wapi alipo winga wa Simba, Aubin Kramo raia wa Ivory Coast, ambaye tangu amesajiliwa na Simba, hajacheza mechi hata moja licha ya kuonekana kwenye benchi katika mechi kadhaa ikiwemo dhidi ya Power Dynamos...
Unaweza kusema kiungo Khalid Aucho ameanza na gia kubwa msimu huu. Kiungo huyo wa Kimataifa kutoka Uganda alin'gara katika kikosi cha Yanga kwenye mechi mbili za Ngao ya Jamii mkoani Tanga.
Msimu uliopita alikuwa chaguo la kwanza kwa Kocha Nasreddine...
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’.
Taarifa za kuaminika kuwa hawajamalizana. Yanga ilimsaini Doumbia katika dirisha dogo la msimu uliopita sambamba na...
Meneja wa Habari na Mawasiliano Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema wachezaji na benchi la ufundi wanastahili pongezi kwa kucheza mechi nne ndani ya siku 12 na kuweza kushinda zote
Ahmed amesema ni shauku ya Wanasimba kuona timu yao ikicheza...
Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa winga wake Mahlatse Makudubela 'Skudu' ameondoka nchini jana kurudi kwao Afrika Kusini kwa ajili ya kushughulikia zoezi la kupata hati mpya ya kusafiria.
Skudu amepata ruhusa hii ya benchi la ufundi la klabu hiyo kwenda...