Home Uncategorized ISHU YA JOHN BOCCO KUSAINI POLOKWANE YAIBUA MENGINE MSIMBAZI – VIDEO

ISHU YA JOHN BOCCO KUSAINI POLOKWANE YAIBUA MENGINE MSIMBAZI – VIDEO


Kufuatia ile ishu ya mchezaji wa Simba, John Bocco kuonekana akisaini mkataba mwingine na Polokwane ya Afrika Kusini, uongozi wa klabu hiyo chini ya Ofisa Mtendaji wake, Crescentius Magori, umefunguka kwa kuja na tamko juu ya suala hilo.

SOMA NA HII  STARS NI YETU SOTE TUIPE SAPOTI, USHINDANI WA LIGI ACHA UENDELEE