Home Uncategorized MTUPIAJI MWINGINE TENA ANASWA KMC

MTUPIAJI MWINGINE TENA ANASWA KMC


VITALIS Mayanga leo amejiunga na KMC kwa kandarasi ya mwaka mmoja akitokea klabu ya Ndanda. 

Mayanga akiwa ndani ya Ndanda msimu wa 2018/19 alitupia jumla ya mabao 10 anaungana na Salim Aiyee ambaye msimu uliopita alitupia mabao 18, amesaini kandarasi ya miaka miwili.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mayanga amesema kuwa ni muda wake kupata changamoto mpya shemu nyingine.

SOMA NA HII  RATIBA YA LEO LIGI KUU BARA HII HAPA