Home Uncategorized SAMATTA AWASHUKURU WATANZANIA KWA SAPOTI

SAMATTA AWASHUKURU WATANZANIA KWA SAPOTI

  • BAADA ya Jana nahodha wa timu ya Tanzania, Mbwana Samatta kuongoza kikosi chake kuibuka na ushindi wa mabao 6-3 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya ndugu zake wa timu Kiba, Samatta amewashukuru watanzania kwa kujitokeza kwa wingi.

  • Samatta na Ally Kiba walicheza mchezo wa hisani, uwanja wa Taifa ambao ulikuwa maalumu kwa ajili ya kurejesha walichokipata kwa jamii ulioandaliwa na taasisi yao inayokwenda kwa jina la SamaKiba.

  • “Nachukua fursa kuwashuru watanzania wote kwa kujitokeza kwa wingi kutoa sapoti, kila mmoja kwa namna moja ama nyingine amekuwa na mchango mkubwa kwa ajili yangu na Taifa kiujumla, ni jambo jema sina cha kuwalipa zaidi ya asante,” amesema Samatta.
SOMA NA HII  YANGA YAIFUATA LIPULI, YATOA HESHIMA KWA HAYATI MKAPA