Home Uncategorized LAMPARD, CHELSEA KIMEELEWEKA

LAMPARD, CHELSEA KIMEELEWEKA



FRANK Lampard amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea akichukua mikoba ya Maurizio Sarri aliyejiunga na Juventus.

Lampard mwenye umri wa miaka 41 amerejea ndani ya uwanja wa Stamford Bridge baada ya kuondoka miaka mitano iliyopita alipokuwa mchezaji.

Chelsea wamempa timu Lampard kutokana na kuaminiwa na bosi wa timu hiyo Roman Abramovich ambaye alikuwa akimkubali tangu zama akiwa mchezaji. 

SOMA NA HII  ISHU YA WAAMUZI ITAFUTIWE DAWA MAPEMA, TIMU ZIJIPANGE KIUKWELI