Home Uncategorized MANCHESTER UNITED WAIWEKEA NGUMU INTER MILAN KWA LUKAKU

MANCHESTER UNITED WAIWEKEA NGUMU INTER MILAN KWA LUKAKU


ROMELU Lukaku, staa wa Manchester United anawaniwa na klabu mbili kubwa ambazo zinahitaji kuipata saini yake kwa ajili ya msimu ujao.

Juventus na Inter Milan zipo kwenye mapambano kuipata saini ya nyota huyo anayecheza nafasi ya ushambuliaji.

United ipo tayari kumuuza Lukaku ila haipo tayari kumtoa kwa mkopo nyota wao huyo ambaye Inter Milan walikuwa wanamtaka kwa mkopo.

SOMA NA HII  KAGERE ATAJA ANACHOKIPENDA KUKIFANYA AKIWA NDANI YA UWANJA