Home Uncategorized RATIBA YA KAGAME LEO, MAKOCHA WOTE KUTUPA KETE YAO YA KWANZA LEO

RATIBA YA KAGAME LEO, MAKOCHA WOTE KUTUPA KETE YAO YA KWANZA LEO


LEO wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Kagame inayofanyika nchini Rwanda watakuwa kazini kupeperusha Bendera.

KMC watakuwa wa kwanza kurusha kete yao leo majira ya saa 7:00 mchana watamenyana na Atlabara, huu pia ni mchezo wa kwanza kwa kocha mpya Jackson Mayanja.

Azam FC ambao ni mabingwa watetezi watarusha kete yao  majira ya saa 9:00 alasiri watamenyana na Mukura, huu utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa kocha wao mpya Ettiene Ndayiragije.

SOMA NA HII  MASHINE MPYA YA NKANA ITAKAYOTUA YANGA INA KAZI YA KULA SAHANI MOJA NA VICHWA HIVI VINNE