Home Uncategorized SPURS WAMTAKA NYOTA WA JUVENTUS

SPURS WAMTAKA NYOTA WA JUVENTUS

PAULO Dyabala mshambuliaji wa Juventus amewekewa kwenye hesabu na klabu ya Totthenham ambayo inataka kuipata saini ya nyota huyo raia wa Argentina.

Juventus ipo tayari kumuachia nyota huyo na inahitaji dau la pauni milioni 80 ili waongeze nguvu kwenye kikosi chao.

Inaelezwa kuwa baada ya Juventus kumsajili Cristiano Ronaldo kutoka Real Madrid nyota huyo alianza kuomba kusepa ndani ya kikosi hicho.

SOMA NA HII  MANCHESTER UNITED NA DORTUMUND WAMGOMBANIA JUDE