Home Uncategorized KMC WANA BALAA, WATIA TIMU LEO RWANDA NA KUANZA KUWAVUTIA KASI WAPINZANI...

KMC WANA BALAA, WATIA TIMU LEO RWANDA NA KUANZA KUWAVUTIA KASI WAPINZANI WAO


KIKOSI cha KMC leo kimetia timu nchini Burundi kwa ajili ya kujiaandaa na mchezo wake wa kimataifa dhidi ya AS Kigali.

KMC itamenyana na AS Kigali Agosti 10 kwenye mchezo wa awali wa kombe la Shirikisho Afrika na wanatarajia kurudiana na wapinzani hao kati ya Agosti 23-25 jijini Dar.

Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa kikosi kimefika salama leo na kinaanza mazoezi kwa ajili ya kuwawinda wapinzani wao.

“Kikosi leo kimefika salama na leo kinaanza maandalizi ya mwisho kuelekea kwenye mchezo wetu wa kimataifa dhidi ya AS Kigali ya Rwanda,” amesema.

SOMA NA HII  MBEYA CITY: TUPO KWENYE KIPINDI KIGUMU KWA SASA,TUTATOKA